Rais Dk.Mwinyi ajionea mifumo mbalimbali banda la ofisi ya Waziri Mkuu Sabasaba

Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi leo tarehe 07 Julai, 2025...

Rais Dk.Mwinyi atembelea banda la nishati maonesho ya Sabasaba

*📌Apatiwa elimu juu ya utekelezaji wa mkakati wa Taifa wa Nishati safi ya kupikia *📌 Wizara ya Nishati kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa tasisi zake...

Wizara ya Katiba na Sheria inafanya vizuri kwa huduma bora kwa Wananchi‎

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam ‎‎ WIZARA ya Katiba na Sheria inafanya vizuri kwa huduma bora na muhimu ambazo wanazitoa kwa wananchi, hususani...

Sekta ya usafiri majini inatakiwa kulindwa na kudhibitiwa-Nahodha Mandia

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SHIRIKA la Uwakala wa Meli (TASAC) limesema kuwa Sekta ya Usafirishaji kwa njia ya maji inachangia uchumi mkubwa hivyo inahitaji...

Kamishna Jenerali Lyimo:ambao bado wanaendelea na biashara ya dawa za kulevya sheria itachukua...

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam KAMISHINA Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA), Aretas Lyimo amesema wale ambao...

Dk.Biteko: Tanzania ina usalama wa chakula awapongeza wakulima

📌 Asema Serikali inatambua Vyama vya Ushirika ni muhimu kuunganisha nguvu za wananchi na kujiendeleza kiuchumi 📌 Mauzo ya nje ya kahawa na tumbaku 2023/2024...

Fanyeni kaguzi kwenye maeneo yaliyohifadhiwa-Majaliwa

Na Mwandishi wetu, Iringa WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza Mamlaka za Mikoa na Wilaya kufanya kaguzi za mara kwa mara katika maeneo yaliyohifadhiwa, vyanzo...

Ngasongwa: wawekezaji wa ndani ya nchi wanasimamiwa na sheria madhubuti zinazosimamia uwekezaji

Na Mwandishi wetu,Dar es Salaam KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani Tanzania (FCC), Hadija  Ngasongwa amesema wawekezaji wa ndani ya nchi wanasimamiwa na...

Vitongoji vyote 64,359 vitakuwa na umeme ifikapo 2030

📌Hadi sasa vitongoji 33,657 vimefikishiwa umeme sawa na 52.3% 📌Waliofikiwa wasisitizwa kutumia umeme kuibua fursa za kiuchumi Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam IMEELEZA kuwa hadi...

Waziri Kikwete aipa tano Ofisi ya Msajili wa Hazina

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, ameipongeza...