WALIMU SEMENI SHIDA ZENU, MSIJIONE DUNI – DK. BITEKO

📌 Serikali yatumia mabilioni kulipa madeni ya walimu 📌 Asema walimu ni nguzo ya Taifa 📌 Kliniki ya Walimu neema kwa walimu nchini 📌 CWT yapongezwa kwa...

RAIS DK. MWINYI: JAMII INAWAJIBU WA KUJIFUNZA UMUHIMU WA AMANI

Zanzabar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina wajibu wa kujifunza umuhimu wa amani kupitia...

TEA YAAHIDI KUZINGATIA USHAURI KATIKA MAJUKUMU YAKE ILI KUFANIKISHA AZMA YA SERIKALI YA AWAMU...

Na Deborah Lemmubi-Dodoma. MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dk. Erasmus Kipesha amesema kuwa Mamlaka hiyo itaendelea kuzingatia ushauri wakati wote wanapotekeleza majukumu...

WATUMISHI TUME YA MADINI WAJENGEWA UWEZO MATUMIZI YA MASHINE ZA KUPIMA MADINI YA METALI

Katibu Mtendaji awataka kuendelea kuchapa kazi kwa kujituma na uadilifu Dodoma KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo amewataka watumishi wa Tume kufanya...

RAIS SAMIA ASIKIA KILIO CHA WANANCHI BARABARA YA SONI- BUMBULI-KOROGWE

Tanga RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesikia kilio cha wananchi wa Bumbuli, mkoani Tanga kuhusu ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe (km...

RAIS MWINYI : AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA HAYATI MZEE MWINYI

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaongoza viongozi mbalimbali na wananchi katika Dua Maalum ya kumuombea aliyekuwa...

ENDELEZENI MAFUNZO YA DINI -MAJALIWA

▪️Asema ushiriki wa Rais Dkt. Samia kwenye tuzo hizo ni kielelezo cha namna anavyothamini na kuiishi Imani ya Dini ya Kiislam na uhifadhi wa...

WAKANDARASI WASIMAMIWE KUTEKELEZA MIRADI YA NISHATI KWA WAKATI – KAPINGA

📌Aagiza wasimamiwe kwa karibu kumaliza miradi 📌Awataka Watendaji TANESCO kuwa na mahusiano mazuri na wananchi Tanga NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka watendaji wa Sekta...

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MAKABIDHIANO YA ZANA ZA KILIMO

▪️Ni mpango wa Serikali wa kukabidhi zana za kilimo kwenye vituo 45 vya zana nchini. ▪️Trekta tano na majembe yake yakabidhiwa. ▪️Asisitiza ni mpango wa Rais...

RAIS DK. MWINYI: SERIKALI ITAENDELEA NA MIKAKATI MBALIMBALI KWAAJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI MIKUBWA

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali Itaendelea na mikakati mbalimbali kuhakikisha inawekeza kwa ajili...