TANZANIA, MAREKANI NA INDIA KUONGEZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA NISHATI
📌 Dk.Mataragio azindua programu ya ushirikiano ya TriDEP
📌 Inalenga kuongezea Wataalam uwezo katika eneo la Nishati Jadidifu
📌 TriDEP kugusa pia uimarishaji wa Gridi ya...
RAIS SAMIA:Â BEI YA MAHINDI SASA SHILINGI 700; MBEGU ZA RUZUKU ZA MAHINDI KUANZA...
Rukwa
RaAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya majumuisho ya ziara ya siku tatu mkoani Rukwa Julai, 17 2024...
MATUKIO MBALIMBALI KATIKA UWANJA WA MANDELA
Matukio mbalimbali katika Uwanja wa Mandela, mkoani Rukwa Julai, 17 2024 ambapo Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amelakiwa na maelfu ya wananchi na Viongozi...
ANASWA AKITENGENEZA DAWA FEKI ZA KULEVYA
Dar es salaam
SHABANI Musa Adam mwenye umri wa miaka 54 anashikiliwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ( DCEA) kwa...
HALMASHAURI WEKENI MIKAKATI YA KUTOKOMEZA MALARIA
Pwani
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo amezishauri halmashauri zote nchini kuweka mkakati wa kununuaa dawa za viluwiluwi inayozalishwa na kiwanda cha TBPL kilichopo...
JUKWAA LA KILIMO ROUNDTABLE AFRICA LINAWAHIMIZA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KILIMO
Dar es Salaam
JUKWAA linalohimiza ushirikiano, ubunifu, na ukuaji katika sekta ya kilimo (Kilimo Roundtable Africa) limewahimiza Watanzania kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza katika sekta...
TUSAIDIANE KULINDA MIUNDOMBINU YA UMEME- MENEJA TANESCO MKOA WA PWANI
Pwani
MENEJA wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Pwani Mhandisi Cosmas Mkaka ametoa wito kwa baadhi ya wananchi mkoa wa huo wanaojihusisha...
UWT YAKERWA NA KASI NDOGO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA CHUO CHA UFUNDI STADI...
Kigoma
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Mary Chatanda (MCC) amekasirishwa na kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa Chuo cha Ufundi...
BASHE: AFANYA UKUGUZI MAGHALA SUMBAWANGA
Rukwa
WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amefanya ziara ya ukaguzi katika maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) yaliyopo eneo...
RAIS DK.SAMIA AZINDUA VIHENGE NA MAGHALA YA KISASA YA NFRA
Rukwa
RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amezindua leo Julai 16 2024 vihenge na maghala ya kisasa ya Wakala wa...











