MATUKIO MBALIMBALI UZINDUZI WA VIHENGE NA MAGHALA YA KISASA YA NFRA
Matukio mbalimbali Mkoani Rukwa ambapo wananchi wamejikusanya kumshuhudia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye Julai,16 2024 anatarajiwa...
DK. SAMIA: BEI YA MAHINDI KUUZWA KWA SHILINGI MIA 600 KWA KILO MOJA
Katavi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akihitimisha ziara yake ya kikazi Mkoani Katavi Julai 15 2024 ambapo wananchi wa...
WAZIRI MKUU AISHUKURU SERIKALI YA DENMARK, AAGANA NA BALOZI WAKE
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameishukuru Serikali ya Denmark kwa misaada ambayo imekuwa ikiitoa kwenye miradi ya maendeleo nchini ambapo Krona milioni...
RAIS DK.SAMIA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA DHARURA HOSPITALI YA WILAYA YA NKASI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la huduma za dharura katika Hospitali Wilaya...
MIKATABA MINNE YA UJENZI WA BARABARA YENYE THAMANI YA BILIONI 10.75 YASAINIWA DAR ES...
Dar es salaam
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es salaam imesaini mikataba minne ya miundombinu ya barabara yenye thamani ya shilingi bilioni 10.75 zitakazojengwa kwa...
TANESCO KUANZA KUFANYA MABORESHO YA LUKU MKOA WA PWANI NA DAR ES SALAAM
Dar es salaam
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kutakuwa na maboresho huduma zake katika mfumo wa Luku kwa wateja wake wa Mkoa wa Dar...
RAIS DK.SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MPIMBWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mpimbwe katika Jimbo la Kavuu mkoani Katavi Julai,15 2024....
SEMFUKO AWAHIMIZA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA YA UFUGAJI WA WANYAMAPORI
Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini (TAWA ),Meja Jenerali(Mstaafu) Hamis Semfuko amewahimiza watanzania kuchangamkia fursa...
TUNAKWENDA KUACHANA NA MAJENERETA – RAIS SAMIA
📌TANESCO kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Taifa Septemba 2024
📌Bilioni 2.2, bili ya Dizeli ya Majenereta kila mwezi kuokolewa.
Katavi
RAIS Jamhuri ya Muungano...












