MAJALIWA AWAPONGEZA RAIS SAMIA NA DK. MWINYI KWA SERA BORA SEKTA YA FEDHA.
Asema zimekuwa msingi katika ukuaji wa sekta ya fedha
Morogoro
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewapongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na Rais Dk. Hussein Ali...
MIRADI IKAMILIKE, IANZE KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI – WAZIRI MKUU
Iringa
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza miradi yote inayojengwa kwa fedha za Serikali ikamilike ndani ya mwaka huu na ianze kutoa huduma kwa wananchi.
Ametoa...
TANZANIA, MFANO WA KUENDELEZA WACHIMBAJI WADOGO
Na Wizara ya Madini
SEKTA ya Madini ni moja ya nguzo muhimu za uchumi wa Tanzania. Pamoja na mchango mkubwa unaotolewa na Migodi mikubwa inayomilikiwa...
BALOZI WA DENMARK AMALIZA MUDA WAKE AMUAGA DK. NCHEMBA
Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ameishauri Denmark kuongeza masuala ya ushirikiano katika sekta za nishati, maendeleo...
BALOZI KINGU ATOA WITO KWA WATANZANIA KUENDELEA KUIUNGA MKONO REA KWA KUWA MIRADI YA...
Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi na Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu amesema Watanzania wanapaswa kuendelea kuunga mkono juhudi...
UWANJA WA NDEGE WA IRINGA UANZE KAZI AGOSTI MOSI – MAJALIWA
Iringa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku 23 kwa Wizara za Ujenzi, Uchukuzi, taasisi zinazosimamia sekta ya anga na uongozi wa mkoa wa Iringa...
WAZIRI KAIRUKI AIPONGEZA TAWA KWA USIMAMIZI MZURI WA RASILIMALI ZA WANYAMAPORI
Morogoro
WAZIRI wa Maliasili na Utalii MhLAngellah Kairuki ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa usimamizi mzuri wa rasilimali za wanyamapori.
Kairuki...
DK. MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA NISHATI KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA NISHATI
📌 Ampongeza Dk. Biteko kwa kuiongoza vyema Wizara na TANESCO kwa utekelezaji wa miradi
📌 Akagua vituo vya kupoza umeme Nguruka na Kidahwe
📌 Aagiza ifikapo...
SERIKALI INAENDELEA KUWEKEZA UJENZI WA VYUO LENGO KUTOACHA NYUMA WATU
DAR ES SALAAM
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) ,CPA Anthony Kasore amesema serikali imeendelea kuwekeza Ujenzi wa vyuo kuanzia Wilaya hadi...
DK. BITEKO AAGIZA UJENZI WA VITUO VIDOGO VYA KUPOKEA, KUPOZA NA KUSAMBAZA UMEME
📌 Asema tatizo la umeme hafifu linamkera Rais Samia
📌 Atoa Siku 7 TANESCO kuwasilisha mpango wa ujenzi wa vituo hivyo
📌 Waliopisha Ujenzi wa Kituo...












