WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA...

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 07, 2024 ameendelea na ziara mkoani Iringa ambapo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA UWEKEZAJI ULAYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank)...

KUIMARIKA KWA SEKTA BINAFSI KUTASAIDIA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA.

Na Esther Mnyika,Dar es Salaam WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Suleiman Jaffo amesema kuimarika kwa sekta binafsi kutasaidia kuongeza ajira kwa vijana wanaohitimu...

WAFANYABIASHARA NCHINI WAMIHIMIZWA KUTUMIA FURSA KATI YA TANZANIA NA KOREA ILI KUFAIDIKA NA SOKO...

Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Fatma Mabrouk Khamis amehimiza wafanyabiashara kutumia fursa kati ya Tanzania na Jamhuri...

UTENDAJI KAZI MAHIRI UWE KIPIMO CHA KUITANGAZA SEKTA YA NISHATI NCHINI-KAMISHNA LUOGA

πŸ“Œ Apongeza Wataalam Wizara ya Nishati/Taasisi kwa kutoa huduma bora kwa wananchi SABASABA πŸ“Œ Asema ni sehemu sahihi ya kupata mrejesho wa utendaji kazi πŸ“Œ Ataka...

VYAMA VYA USHIRIKA VYATAKIWA KUBORESHA HUDUMA KWA WANAUSHIRIKA

πŸ“Œ Dk. Biteko azitaka Kampuni za ushirika kurejesha rasirilimali kwa jamii πŸ“Œ Maafisa ushirika watakiwa kutengeneza Sura ya Ushirika πŸ“Œ Benki ya Ushirika wa mazao kuanzishwa πŸ“ŒWatanzania...

WAZIRI MKUU AZINDUA HOSPITALI YA RUFAA YA TOSAMAGANGA

Iringa *Azipongeza taasisi za dini kwa kuendelea kutoa huduma za kijamii WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezipongeza taasisi za dini likiwemo Kanisa Katoliki kwa kuendelea kushirikiana...

DK. KIKWETE AIPONGEZA REA KWA KUSAMBAZA UMEME KWENYE VIJIJI 12,031

Dar es Salaam RAIS Mstafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete amewapongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kusambaza nishati ya umeme...

WAZIRI WA ZIMBABWE CHADZAMIRA AVUTIWA NA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala ya Mikoa na Ugatuzi kutoka nchini Zimbawe, Ezra Chadzamira ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi...

TAWA YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI MAONESHO YA 48 YA KIMATAIFA ALMAARUFU SABASABA 2024

Na Beatus Maganja, Dar es Salaam. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es...