FARAJA: MHITIMU WA VETA ALIYEAMUA KUANZISHA KIWANDA CHAKE
Dar es Salaam
MHITIMU wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Dodoma, Faraja Michael wa fani ya uchomeleaji,ameanzisha kiwanda chake cha kutengeneza...
WAZIRI KAIRUKI ASISITIZA KUONGEZA UBUNIFU NA ARI YA UTENDAJI KAZI
Dar es Salaam
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angelah Kairuki amewataka watendaji Makumbusho na Malikale kuongeza ubunifu kwenye maonesho mbalimbali ili kuwavutia wananchi na...
EWURA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU MBALIMBALI KUHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.
Na Leah Choma, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhamasisha...
OREXY GAS YAMTANGAZA SHILOLE KUWA BALOZI WAKE WA UHAMASISHAJI
Dar es Salaam
KAMPUNI ya Gesi ya Oryx imemtangaza Mama Lishe Zuwena Mohamed maarufu Shilole (Shishifood) kuwa balozi wao katika kuhamasisha matumizi ya nishati...
BADO KUNA CHANGAMOTO YA WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM KUWALETA SHULE NA CHUONI KUTOKANA...
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Baraza la Taifa la Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania ( NACTIVET), Bernadetta Ndunguru...
MHANDISI MATIVILA AFURAHISHWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA ZA LAMI ZINAZOSIMAMIWA NA TARURA...
Na Catherine Sungura, Dodoma
NAIBU Katibu Mkuu , Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila amefurahishwa na viwango vya ujenzi wa miradi ya barabara...
RIZIKI AMEIOMBA SERIKALI KUMPA AJIRA YA KUSHONA SARE ZA JKT
Dar es Salaam
RIZIKI Ndumba ambaye ni fundi Cherehani na mlemavu wa mikono ameiomba serikali kuweza kumpa ajira ya kuweza kushona sare za Jeshi la...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI KONGAMANO LA WANAWAKE KIISLAM ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya...
NAIBU KATIBU MKUU ZUHURA YUNUS ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU
Dar es Salaam
NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus ametembelea Banda Jumuishi la Ofisi...
WMA IMEWATAKA WANANCHI KUHAKIKI MITA ZAO.
Dar es Salaam
WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) limewataka wananchi kuhakikisha kila mita wanayoitumia ikiwemo ya maji na umeme ziwe zimefanyiwa uhakiki kabla ya...











