NAIBU KATIBU MKUU, ELIJAH MWANDUMBYA ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA FEDHA SABASABA
NaPeter Haule, Dar es Salaam
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya ametembelea Banda la Wizara ya Fedhakatika Maonesho ya 48 ya Biashara...
MAONESHO YA 48 77 TANZANIA IMEPIGA HATUA KWENYE MATUMIZI YA TEKNOLOJIA
Esther Mnyika, Dar es Salaam
KATIBU Mkuu Kiongozi, Dk. Mosses Kusiluka amesema maonesho ya 48 ya kimataifa ya biashara ya mwaka 2024 yameonesha Tanzania...
SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YALIPONGEZA SHIRIKA LA KIVULINI.
Mwanza
KATIBU Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Abeida Rashid Abdallah amepongeza mchango wa...
RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS NYUSI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MhSamia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika...
CHATANDA ASHIRIKI MJADALA WA UANZISHWAJI WA DAWATI LA JINSIA KATIKA VYAMA VYA SIASA
DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Jumuiya UWT Taifa Mary Chatanda Julai,3 2024 ameshiriki Mjadala wa uanzishwaji wa dawati la jinsia ndani ya vyama vya...
DK. MWINYI AKUTANA NA RAIS WA MSUMBIJI
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uhusiano uliopo kati ya Msumbiji na Tanzania ni wa...
VIONGOZI WA UWT TAIFA WATEMBELEA MAONESHO YA 48 YABIASHARA YA KIMATAIFA SABASAB
Dar es Salaam
JUMUIYA Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imeipongeza Serikali kwa kuandaa mazingira wezeshi na kutoa fursa kwa wafanyabiashara wazawa kukuza mitaji na...
“WANANCHI TEMBELEENI BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU, TUPO TAYARI KUWAHUDUMIA” DK. YONAZI
DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dk. Jim Yonazi amesema kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu...
BoT YATANGAZA KUENDELEA KWA UKOMO WA RIBA YA ASILIMIA 6
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuendelea kwa ukomo wa riba ya asilimia 6 katika robo tatu ya...
RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS BENKI YA UWEKEZAJI YA UMOJA WA ULAYA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa...












