JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 60 TANGU KUASISIWA KWAKE SEPTEMBA 1,1964
Dar es salaa
SERIKALI ya Tanzania kupitia Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania( JWTZ linatarajia kufanya maadhimisho ya miaka 60 tangu kuasisiwa kwake Septemba 1,...
RAIS DK.SAMIA Na RAIS NYUSI WATEMBEELEA BANDA LA WAZIRI MKUU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji , Filipe Jacinto Nyusi wakimsikiliza Waziri...
VIJIJI VYOTE TANZANIA BARA KUFIKIWA NA NISHATI YA UMEME KAPINGA
📌 Kata ya Buganzo wilayani Kahama kufikishiwa umeme kabla ya tarehe 5 Julai
📌 Mbunge wa Msalala aishukuru Serikali
Kahama
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith...
MHAGAMA: OFISI YA WAZIRI MKUU IMEJIPANGA KUENDELEA KUHUDUMIA WANANCHI
*Amewataka watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuendelea kuhudumia wananchi kwa weledi
Dar es Salaam
SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imesema itaendelea kuwahudumia wananchi na...
TARURA,TANROADS NA BENKI ya DUNIA WAKAGUA MRADI WA UJENZI WA BARABARA
Iringa
MTENDAJI Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff leo Julai, 2 2024 ameshiriki katika ukaguzi wa mradi wa...
MENEJA TRA KIBONDO AKAMATWA NA MENO YA TEMBO
Kigoma
JESHI la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma...
WAZIRI MKUU: MATOKEO YA SENSA YAWAFIKIE WATENDAJI WOTE WA MIKOA NA HALMASHAUR
Lindi
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema matokeo ya sensa yanapaswa yawafikie watendaji na walengwa wote katika ngazi ya mkoa na Halmashauri na yawe msingi...
WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA DAR ES SALAAM
📌 Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake
📌 JNHPP yawa kivutio kikubwa kwa wananchi
Dar es Salaam
WIZARA ya Nishati pamoja na...












