SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD

Na Saidina Msangi, Dodoma. SERIKALI imesema kuwa taratibu za kikodi zimebainisha kwamba, mfanyabiashara yeyote mwenye mauzo ghafi yenye kiasi cha shilingi milioni kumi na...

USAFIRI WA ANGA NI KICHOCHEO CHA UKUAJI UCHUMI-DK.MWINYI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema sekta ya utalii ina mchango mkubwa katika...

DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri...

DK. BITEKO ATETA NA BALOZI MAREKANI NCHINI

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa nchini Dk....

DK. NCHEMBA WADAU WAWEKEZE KWENYE SEKTA ZA UZALISHAJI

Na. Peter Haule na Saidina Msangi, Dodoma WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ametoa rai kwa wadau wa maendeleo nchini likiwemo Shirika la Maendeleo la...

RAIS DK. MWINYI KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA MASUALA YA ANGA

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajia kufungua Mkutano wa sita wa masuala ya anga wa jumuiya ya Afrika Mashariki...

ELIMU INAYOTOLEWA NA TAWA YAMWOKOA MWANANCHI KUTOKA MDOMONI MWA MAMBA

Na Beatus Maganja, Mwanza MKAZI wa Kijiji cha Kasenyi kilichopo wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza Obeid Francis (44) amenusurika kuliwa na mnyamapori aina ya...

ZANZIBAR NA COMORO ZINA MAHUSIANO MAALUM

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar na Comoro zina Mahusiano maalum ya...

TANZANIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA UNICEF-MAJALIWA

Na Mwandishi wetu Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 14, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa...