Doyo: Nitafungua Masoko ya Nje kwa Wakulima wa Lushoto
Na Mwandishi Wetu, Tanga
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NLD, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Hassan...
TBS yaanza utekelezaji wa kanuni ya uongezaji virutubishi kwenye vyakula ya mwaka 2024
Na Florah Amon,Dar es Salaam
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeanza utekelezaji kwa kanuni mpya za mwaka 2024 zinazolenga kuongeza virutubisho katika vyakula vinavyotumiwa kwa...
Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Tanzania nchini Japan
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka balozi wa Tanzania Nchini Japan Anderson Mutatembwa kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje...
INEC yazitaka taasisi na asasi kutoa elimu ya mpiga kura kwa weledi
Na. Mwandishi Wetu, Dodoma
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga...
Wateja wakubwa wa hotel Morogoro wakamatwa kwa wizi wa umeme
πNi katika operesheni maalum ya ukaguzi inayofanywa na TANESCO Nchi nzima
πTANESCO yasisitiza zoezi ni endelevu na kutangaza kiama kwa waolihujumu Shirika
Na Mwandishi wetu, Morogoro...
Tanzania imejengwa kwa misingi imara ya amani na uzalendo-Majaliwa
Na Mwandishi wetu, Tanga
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi imara ya amani, uzalendo na maadili mema ambayo yameasisiwa na...
Dk.Biteko amwakilisha Rais Dk.Samia mazishi ya Hayati Askofu Shao
π Awataka Watanzania kuacha alama katika utumishi wao
π Asema Serikali iko pamoja na wafiwa katika kipindi hiki cha majonzi
π Askofu Malasusa ataka waumini kumshuhudia...
Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Kimataifa la wafugaji wa nguruwe
Na Florah Amon, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano kubwa...
Waziri Mkuu awataka madereva wa Serikali kufanyakazi kwa weledi
Asisitiza wajiepushe na tabia zinazoharatisha maisha, mali na siri za Serikali
Na Mwandishi wetu,Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa madereva wa Serikali wanawajibu wa...
Majaliwa ataka mikakati zaidi matumizi ya nishati safi kwenye magereza
Asema Rais Dk. Samia ameonesha njia kwenye matumizi ya nishati safi.
Alipongeza Jeshi la Magereza kwa kuanza kutekeleza kwa vitendo matumizi ya nishati safi.
Na Mwandishi...











