RAIS DK.SAMIA KUZINDUA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk.Doto Mashaka Biteko mara...

MATUKIO KATIKA PICHA-UZINDUZI MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034. Hafla hiyo inafanyika leo...

WAZIRI WA ULINZI AFANYA ZIARA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA NA KULITAKA KUFANYA TATHMINI...

Na Mwandishi wetu, Manyoni WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk.Stergomena Tax ameagiza Uongozi wa Kamandi ya Jeshi la Akiba kufanya...

BILIONI 1.1 ZA TANROADS ZAREJESHA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA YALIYOSOMBWA NA MVUA ZA...

Na Mwandishi wetu, Katavi WAKALA Barabara Tanzania Nchini (TANROADS) Mkoani Katavi imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya kazi ya matengenezo na kurejesha miundombinu ya...

CCM IMEAMUA KUTOA ELIMU KUHUSU MASUALA YALIYOPO MAHAKAMANI – MAKALLA

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla amesema kuwa viongozi wengi wa chama wamekuwa...

SERIKALI YAUNDA KAMATI YA UCHAMBUZI VIWANGO VYA PENSHENI

Peter Haule, Dodoma SERIKALI imesema kuwa imeunda kamati ya kukusanya na kuchambua maoni na mapendekezo ya viwango vya nyongeza ya pensheni ili kuwezesha maandalizi ya...

MAHIMBALI APOKEA TAARIFA MAANDALIZI WIKI YA MADINI KUTOKA FEMATA

Maonesho na Kongamano la Wachimbaji Madini kufanyika Dodoma Juni 2024 Na Mwandishi wetu, Dodoma KATIBU Mkuu Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali amekutana na kuzungumza...

UHAMIAJI TANGA YATOA ONYO KALI KWA MADALALI WA WAHAMIAJI HARAMU.

Na Boniface Gideon,TANGA JESHI la Uhamiaji Mkoa wa Tanga limewaonya mawakala hasa watanzania wanaoji husisha na mtandao wa kuwaingiza wahamiaji haramu mkoani humo kuacha mara...

UBALOZI WA USWISI WASHIRIKIANA NA SHIRIKA LA AMEND TANZANIA KUTOA MAFUNZO KWA MADEREVA BODABODA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma MADEREVA bodaboda 145 katika Jiji la Dodoma- wamepatiwa mafunzo ya usalama barabarani awamu ya pili yalioanza Aprili 15 na kukamilika Mei 4...

WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO WAKAZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma....