TANZANIA NA GUINEA BISSAU KUSHIRIKIANA KUKUZA UCHUMI WA BULUU NA KILIMO CHA KOROSHO

Dar es Salaam RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Guinea Bissau zina mambo mengi ya kushirikiana katika kukuza uchumi wa buluu na kilimo...

UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA KUANZA JULAI, 20 2024 KIGOMA.

Kigoma. TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kusogezwa be mbele kwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura hadi...

MAJALIWA KUZINDUA RIPOTI YA KIDEMOGRAFIA, KIJAMII, KIUCHUMI NA MAZINGIRA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 22, 2024 atazindua ripoti ya Kidemografia, Kijamii, Kiuchumi na Mazingira zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi na...

NAPE AMEWATAKA MAAFISA HABARI UJUZI WALIOPATA KUBORESHA UTENDAJI WAO

Dar es Salaam WAZIRI wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewataka Maafisa Habari watumie ujuzi waliopata kuboresha utendaji wao na ujuzi...

RAIS DK.MWINYI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dar es Salaam kuhudhuria dhifa ya chakula...

TANZANIA YASISITIZA MATUMIZI YA KISWAHILI EAC

Dar es Salaam SERIKALI ya Tanzania imeendelea kutoa msisitizo wa matumizi ya lugha ya Kiswahili katika shughuli mbalimbali za Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwemo...

BALOZI NCHIMBI MSIBANI KWA TIXON NZUNDA

Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amejumuika pamoja na waombolezaji wengine, kutoa heshima za mwisho...

RAIS DK.SAMIA AMPOKEA RAIS EMBALÒ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló leo Juni, 22 2024 Ikulu...

TANESCO YAWEZESHA KUANZA KWA UJENZI WA TUTA LA MTO LUMEMO

Na Shamu Lameck, Ifakara SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO) limeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa tuta la kuzuia maji ya mto lumemo uliopo kwenye Halmashauri...