RAIS DK.SAMIA AMPOKEA RAIS EMBALÒ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló leo Juni, 22 2024 Ikulu...

TANESCO YAWEZESHA KUANZA KWA UJENZI WA TUTA LA MTO LUMEMO

Na Shamu Lameck, Ifakara SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO) limeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa tuta la kuzuia maji ya mto lumemo uliopo kwenye Halmashauri...

DK.TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA BENKI YA CRDB

Dodoma SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amekutana na kufanya...

SERIKALI YAONDOA HOFU YA UMEME KUTOFIKA VITONGOJI VYOTE NCHINI

📌 Kapinga asema vitongoji vyote vitasambaziwa umeme 📌 Vituo vya kupoza umeme kujengwa Kilosa, Mbinga na Hanang 📌 Vitongoji 33,000 vyafikiwa na huduma ya umeme 📌 Wakandarasi...

MAJALIWA: TUTAYAENZI MEMA YOTE YALIYOFANYWA NA NZUNDA

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali na Watanzania wataendelea kumkumbuka na kuyaenzi mema yote yaliyoyafanywa na aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa...

WAZIRI KAIRUKI ATOA WITO KWA NCHI WANACHAMA WA AFR100 KUWEKA MIFUMO YA UFUATILIAJI KATIKA...

Na Magrethy Katengu, Dar es salaam WAZIRI wa Maliasili wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki ametoa wito kwa nchi wanachama wa Mkakati wa kuokoa...

MILIONI 250 ZAIDHINISHWA UJENZI WA DARAJA LA KILOKA WILAYANI MOROGORO

Morogoro SERIKALI imeshaidhininisha kiasi cha shilingi Milioni 250 kwaajili ya ujenzi wa daraja la Kiloka linaounganisha kijiji cha Kiloka na vijiji jirani ambalo lilisombwa na...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CPC

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa Leo Juni 21, 2024 amekutana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na...

TARURA ONGEZENI UMAKINI KWA WAKANDARASI:MHANDISI MATIVILA

*Afurahishwa na utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Tegetero-Lubwe Morogoro NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya OR-TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu  Mhandisi Rogatus Mativila ameitaka Wakala ya barabara...