DK. MPANGO AELEKEZA MADINI YA KIMKAKATI KUWEKEWA MKAZO
Asisitiza Wizara kuzingatia masuala muhimu ya uwekezaji na kufanyika maamuzi ya haraka
Mavunde asema Wizara kununua Helkopta kwa shughuli za utafiti wa Kijiofizikia, Maabara Kubwa...
MA-RC, MA-DC ANZISHENI OPERESHENI MAALUM ZA ULINZI – MAJALIWA
Dodoma
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wahakikishe kila halmashauri inaanzisha operesheni maalum za ulinzi kwa watu wenye...
BODI YA TANESCO YAFURAHISHWA NA KUPONGEZA MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA JULIUS NYERERE
Na Charles Kombe, Rufiji
BODI ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imefurahishwa na kupongeza wasimamizi wa mradi juu ya hatua za ujenzi wa...
AfCFTA KUONGEZA MAUZO YA NJE NA KUBORESHA UWIANO WA BIASHARA
Zanzibar
KATIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dk. Hashil Abdallah amesema utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) katika kuondoa...
BRELA YATAKA WANANCHI KUSAJILI MAJINA YA BIASHARA ZAO
Morogoro
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza Wananchi kusajili majina ya biashara zao.
Hayo yabenainishwa Juni 19, 2024 mkoani Morogoro na...
RAIS WA GUINEA BISAU KUZURU TANZANIA SIKU TATU KUANZIA JUNI 21 HADI23, 2024
Dar es salaam
RAIS wa Jamhuri ya Guinea Bissau ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Muungano wa Viongozi wa Afrika katika Kudhibiti Malaria (ALMA),...
TANZANIA NA SAUDI ARABIA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI
📌Serikali kuimarisha maghala ya mafuta nchini
📌Dkt. Biteko akaribisha uwekezaji wa uzalishaji wa dawa za mifugo
Dodoma
NAIBU wa Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, ...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS WA AFRIKA KUSINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Jengo la Umoja Jijini Pretoria kwa ajili ya kuhudhuria hafla...
WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE WIKI YA UTUMISHI...
📌 Wizara yatanabaisha miradi yake
📌 Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia waendelea kusambazwa
Dodoma
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma...
SEKTA BINAFSI MSHIRIKA MKUBWA WA SERIKALI KATIKA KUTEKELEZA AGENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌 Upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia kufika hadi ngazi ya Kaya
📌Asisitiza kuisukuma ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia
📌Asilimia 80 ya Watanzania kutumia Nishati Safi...












