MHANDISI MATIVILA ARIDHISHWA NA UJENZI WA BARABARA MOROGORO

*Daraja la Lukuyu kuwaondolea adha wakulima kata ya Bigwa Morogoro NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI anayesimamia Miundombinu,Mhandisi...

KATIBU MKUU NISHATI AKUTANA NA WAFANYAKAZI

📌 Ahimiza umuhimu wa ushirikishwaji wa Wafanyakazi 📌 Awataka Wakuu wa Idara na Vitengo kutoa fursa kwa Maafisa 📌 Asisitiza motisha kwa wanaofanya vizuri 📌 Dk. Mataragio...

VYOMBO VYA HABARI SIO MSHINDANI WA SERIKALI:DK. SAMIA

Dar es Salaam RAIS Dk. Samia suluhu Hassani amesema kuwa vyombo vya habari sio mshindani wa serikali bali ni mdau na ni mshiriki muhimu...

KATIBU MKUU DK. ABDALLAH AHIMIZA WANAHABARI KUTILIA MKAZO TAARIFA ZA BRELA KUHAMASISHA URASIMISHAJI BIASHARA

Morogoro KATIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dk. Hashil Abdallah amewahimiza waandishi wa habari kupitia kalamu zao na vipaza sauti kusaidia katika kuhakikisha...

DK.MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA TAASISI YA UWEKEZAJI YA UINGEREZA (BII)

Dodoma. MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya...

MRADI WA TAZA KUBORESHA HUDUMA YA UMEME MAFINGA

📌 Vituo vya kupoza umeme kujengwa kuimarisha usambazaji umeme 📌 Taasisi zapewa kipaumbele miradi ya usambazaji umeme Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali...

WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA...

📌 Nishati Safi ya Kupikia yapigiwa chapuo 📌 Wananchi wafurahia kuuona mradi wa JNHPP kupitia kifaa cha Uhalisia Pepe 📌 TANESCO yatoa huduma moja kwa moja...

MAJALIWA: WATANZANIA TUENDELEE KUDUMISHA AMANI, UPENDO NA MSHIKAMANO

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja, mshikamano, kuhurumiana sambamba na kujiepusha na vitendo vinavyoashiria...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI SALA EID AL ADHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam kwenye Sala ya Eid Al...