WAZIRI MKUU MGENI RASMI SWALA YA EID NA BARAZA LA EID KITAIFA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2024 ameswali swala ya Idd El-Adh’haa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam.
PiaMajaliwa...
WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUFUGA KISASA KULETA MAENDELEO
📌 Dk. Biteko aagiza Wizara ya Mifugo kuendelea kutoa elimu ufugaji wa kisasa
📌Wafugaji wahimizwa kushiriki maonesho ya mifugo kuboresha ufugaji wao
📌 Wafugaji na wakulima...
KAMATI YA BUNGE YAKAGUA MRADI WA MADINI MGODI WA KIWIRA
Songwe
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya kikazi katika mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira kwa lengo la...
WAZIRI MKUU AAGIZA RC’s, DC’s KUFANYA MAPITIO YA VIKUNDI VYA JOGGING
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kufanya mapitio ya vikundi vyote vya Jogging katika...
RAIS DK.SAMIA AKISHEREHEKEA SIKU YA MTOTO AFRIKA PAMOJA NA WAJUKUU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es...
WAZIRI MKUU ATAKA HATUA ZICHUKULIWE KUONDOA UDUMAVU
Ataka Mikoa inayoongoza ianze urutubishaji wa chakula kuanzia ngazi za vijiji
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Mikoa yenye viwango vikubwa vya upungufu wa damu na...
RAIS DK .MWINYI AZINDUA KIGODA CHA ABEID KARUME
Zanzibar
MKUU wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amekitaka Kigoda cha taaluma...
RAIS SAMIA ABAINISHA MIKAKATI YA TAARIFA YA MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI YAGUSIA...
Dodoma
RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amewapongeza na kuwashukuru Waziri Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) George Mkuchika na Jaji mstaafu Joseph Warioba...
WAZIRI MKUU AZINDUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIRUTUBISHI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Kiwanda cha kutengeneza virutubishi (premix blending plant), cha kampuni ya SANKU – PHC Tanzania.
Viongozi wengine walioshiriki katika hafla hiyo...












