SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUFUNGA CIRCUIT BREAKER MAJUMBANI
📌 Lengo ni kujilinda na athari za umeme
📌 Kapinga ataja juhudi zinazofanywa na Serikali kuimarisha hali ya umeme Jimbo la Segerea
📌 Asema usambazaji umeme...
TUNAWASAIDIA WAWEKEZAJI WAZAWA KUWA MAHIRI-WAZIRI MKUU
Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuwajengea uwezo Watanzania wanaojishughulisha na masuala ya uwekezaji na kuweka mazingira wezeshi ili kuwasaidia wawe mahiri.
Amesema...
DARAJA LILILOKATIKA KWA ELNINO LAJENGWA,KUINUA UCHUMI WA WANANCHI-TABORA
Tabora
WANANCHI wa Kata ya Kakola na Ikomwa, Manispaa ya Tabora wameishukuru serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuwafungulia mawasiliano...
TRENI YA UMME KUANZA SAFARI YAKE KUANZIA JUNE 14 ,2024 KUANZIA DARE ES SALAAM...
Dar es salaam
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limezindua kampeni ya uelewa kuhusu kuanza kwa huduma za usafiri wa Treni katika kiwango Cha kimataifa (SGR)...
MATOKEO YA UWEKEZAJI TPA YAVUNJA REKODI YA KUTOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 153.9...
Dar es Salaam
IKIWA ni miezi michache tu imepita mara baada ya maboresho ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na kampuni mbili za kimataifa katika...
RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA UGOMBEA URAIS MSUMBIJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel...
RAIS SAMIA AFUNGUA NCHI KIMATAIFA
📌 Diplomasia ya Kiuchumi yainadi Tanzania kimataifa
📌 Marekani yasaka fursa uwekezaji Sekta ya Nishati
📌 Dkt. Biteko ataja maono ya Rais Dkt. Samia kiini cha...
TUME YA MADINI YAJIPANGA KUKUSANYA SHILINGI TRILIONI 1
Mhandisi Samamba ataka kuongeza weledi na umoja katika utendaji kazi
TANGA
Wakati Bajeti Kuu ya Serikali ikitarajiwa kuwasilishwa kesho, Menejimenti ya Tume ya Madini imetakiwa kufanya...
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KWA WATUMISHI WA UMMA
Awataka waondoe urasimu na kutowasumbua wananchi wanaowahudumia
Arusha
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini kote wawatumikie wananchi ipasavyo na wahakikishe wanaondoa urasimu...
TANZANIA KUENDELEA KUTOA KIPAUMBELE VYANZO MBADALA VYA UMEME
📌 Lengo ni kujihakikishia umeme wa kutosha na uhakika
📌 Dkt. Biteko akutana na wadau wa chemba ya wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa nishati
📌...











