FCT YAONGEZA UWAJIBIKAJI NA UBUNIFU KWA MAMLAKA ZA UDHIBITI NA WAFANYABIASHARA

Na Mwandishi wetu, Kigoma ASILIMIA ya 97 mashauri yaliyowasilishwa kwenye Baraza la Ushindani nchini (FCT) yamesikilizwa na kufanyiwa kazi yamechochea...

DK. BITEKO AWATAKA WATANZANIA, WASIKUBALI KUGAWANYWA

📌 Asema ni moja ya Tunu za Taifa ðŸ“Œ Kugharimu Shilingi Milioni 500 📌 Aweka Jiwe la Msingi kituo cha Afya Kinyikani, Kaskazini Pemba Na Mwandishi wetu,...

MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI 19.9 KUPITIWA NA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MOROGORO

Na Mwandishi wetu, Morogoro JUMLA ya miradi 70 yenye thamani ya shilingi bilioni 19.9 itapitiwa na mbio za mwenge ambapo miradi 18 itawekewa mawe...

URA SACCOS YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 235.5 KWA...

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MKUU wa Jeshi la Polisi Nchi, IGP Camillus Wambura amepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 235.5...

KUWAHESHIMISHA MABALOZI NI KUKIRUDISHA CHAMA KWA WANACHAMA

Awapongeza wana Ruvuma kwa kujitoa kimasomaso kwa mapenzi ya dhati kwa CCM Na Mwandishi wetu, Ruvuma KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapiduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel...

RAIS DK.MWINYI AZINDUA TAASISI YA WASANIFU NA WAHANDISI ZANZIBAR

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo...

SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA WANAWAKE-MAMA MARIAM MWINYI.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar MKE wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF),...

DKT. BITEKO AWASILI PEMBA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amewasili Kisiwani Pemba na kupokelewa na Waziri ofisi ya Makamu wa Rais, Sera, Uratibu na...

SERIKALI KULIPA FIDIA ENEO LA IDEFU – MAKAMBAKO

Na Saidina Msangi, WF, Dodoma. SERIKALI imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada...