FCT YASIKILIZA NA KUTOLEA MAAMUZI MASHAURI 429
Na Mwandishi wetu, Mwanza.
KAIMU Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Daniel Machunda amewaomba wadau wote kuendeleza ushirikiano na Baraza la Ushindani (...
SERIKALI KUTUMIA BILIONI 841.19 UJENZI WA BARABARA ZA WILAYA
Na Catherine Sungura-Dodoma
KATIKA mwaka 2024/25, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imepanga kutumia shilingi bilioni 841.19 kwa ajili ya...
RAIS DK.MWINYI AFUNGUA MKUTANO WA SADCOPAC
Na Mwandishi wetu, ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali zote mbili, ya Jamhuri ya Muungano...
WAZIRI MKUU AKAGUA ATHARI ZA MAAFA RUFIJI
Na Mwandishi Wetu, Rufiji
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi waliokumbwa na adha ya mafuriko nchini waendelee kuwa watulivu wakati Serikali ikiendelea kuratibu utoaji...
WAKULIMA KANDA YA ZIWA WANA UELEWA HAFIFU WA MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA
Na Mwandishi wetu, Mwanza
BODI ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imesema Wananchi wa Kanda ya Ziwa wanakabiliwa na changamoto ya Uelewa mdogo...
TAWA YATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI
TAWA YATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI
Na Beatus Maganja,Rufiji
WANANCHI walioathiriwa na mafuriko wilayani Rufiji wameiona thamani na umuhimu wa Mamlaka ya Usimamizi...
RAIS SAMIA ATOA TANI 189 ZA MBEGU – WAZIRI MKUU
Na Mwandishi wetu, Morogoro
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ameridhia kutoa tani 189 za mbegu za mpunga, mahindi...
DK. BITEKO AFUNGUA RASMI MAONESHO YA WIKI YA NISHATI 2024
📌 Amshukuru Rais Dk. Samia kwa nyenzo na maelekezo
📌 Ahadi ya Rais ya umeme wa kutosha yatimizwa, sasa hakuna mgawo wa umeme
📌 Aziwashia taa...
BODI YA MFUKO WA BARABARA YAUNDA MABARAZA KWA WAFANYAKAZI
Na Mwandishi Wetu@Lajiji Digital
KAIMU Mtendaji Mkuu Bodi ya mfuko wa Barabara , Rashidi Kalimbaga amewataka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA...
RAIS DK.SAMIA ATOA POLE MSIBANI KWA FAMILIA YA MZEE ABDULRAHMAN ALIYEFARIKI USIKU WA KUAMKIA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akimfariji Mwanakheri Mussa Yussuf, Mjane wa Marehemu Mzee Mussa Abdulrahman ambaye alikuwa...