MAONESHO YA WIKI YA NISHATI YAANZA RASMI BUNGENI DODOMA

Na Mwandishi wetu, Dodoma MAONESHO ya Wiki ya Nishati yameanza rasmi katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Katika picha ni Wataalam kutoka Wizara ya...

TUULINDE MUUNGANO NA TUUDUMISHE-DK.MWINYI

Na Mwandishi wetu,Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ni wajibu kuulinda Muungano, kuuendeleza, kuudumisha na kuimarisha...

RAIS DK.SAMIA NA WALINZI WA HAYATI SOKOINE.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na waliokuwa walinzi wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania...

ORYX GAS, ASAS WAKABIDHI MISAADA KWA WAATHIRIKA MAFURIKO RUFIJI

Na Mwandishi Wetu@Lajiji Digital KAMPUNI ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Kampuni ya ASAS wamekabidhi msaada wa vyakula na mitungi ya gesi ya Oryx...

MTEMVU AKABIDHI MSAADA WA ZAIDI YA MILIONI 22 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

Na Mwandishi wetu, Rufiji MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es salaam, Abas Mtemvu ameongozana na viongozi wa CCM wa...

MWENGE KUZINDUA MIRADI 8 YA MAENDELEO WILAYA TANGA

Na Boniface Gideon, TANGA MIRADI nane yenye zaidi ya shilingi bilioni 11 inatarajiwa kuzinduliwa na mwenge wa uhuru jijini Tanga Aprili 14, ambapo utakimbizwa...

RAIS DK.SAMIA AONGOZA KIKAO MALUUM CHA RIPOTI YA MAAFA YA MAFURIKO YALIYOTOKEA MAENEO MBALIMBALI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao maalum kilichowasilisha ripoti ya maafa ya Mafuriko yaliotokea sehemu mbalimbali nchini...

DK.NCHIMBI AANZA ZIARA YA MIKOA SITA NCHINI

KATIBU Mkuu wa CCM Balozi Dk, Emmanuel Nchimbi na ujumbe wake amewasili asubuhi hii mkoani Katavi kuanza ziara ya mikoa sita nchini. Katika ziara...

DC SAME AMEWATAKA WANANCHI KUHAKIKISHA WANAITUNZA MIRADI AMBAYO IMEZINDULIWA NA MBIO ZA MWENGE....

Na Ashrack Miraji , Same MKUU wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka wananchi kuhakikisha kila mmoja kwenye eneo lake anashiriki kikamirifu...