RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA KATIKA FUTARI.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakiwemo watu wenye...
RAIS DK. SAMIA AHIDI KUFANYIA KAZI RIPOTI YA CAG NA TAKUKURU.
Na Mwandishi wetu, Dodoma
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amepokea Ripoti ya Mdibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/2023 na...
*DK. BITEKO AAGIZA KUVUNJWA BODI YA ETDCO.
📌 Menejimenti ETDCO nayo isukwe upya
📌 Ni kufuatia Wizi, Utendaji mbovu na kusuasua kwa miradi
📌 Awataja baadhi ya Watumishi wanaohusika na vitendo hivyo
📌 Waliobainika...
KAMATI YA BUNGE YA PIC YAIPONGEZA TRC.
Na Mwandishi wetu @Lajiji Digital
KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC) imepongeza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa ubunifu...
RAIS DK. SAMIA AKIPOKEA RIPOT YA CAG NA TAKUKURU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka...
JOKETI KUHAKIKISHA ANAMTUA KUNI MWANAMKE KICHWANI KUTUMIA NISHATI MBADALA
Na Mwandishi wetu, @Lajiji Digital
Umoja wa Wanawake Nchini(UWT) umedhamiria kwa vitendo kuhakikisha unatekeleza dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha inamtua kuni...
MAKAMBA AANIKA FURSA ZA USHIRIKIANO TANZANIA NA HANGARY
Na Esther Mnyika
SERIKALI ya Tanzania na Hangary wamesaini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya maji kwa sababu nchi hiyo wanaongoza duniani kwa kudhibiti mafuriko...
WANAKIJIJI WAANZA UJENZI WA SHULE YA “DAVID MASSAMBA MEMORIAL SECONDARY SCHOOL”KUSOGEZA ELIMU JIRANI
Na Shomari Binda-Musoma
WAKAZI wa Kijiji cha Kurwaki Kata ya Mugango wameanza ujenzi wa shule ya "David Massamba Memorial Secondary School"kusogeza elimu jirani.
Sekondari hii ambayo...
RAIS Dk. SAMIA ASHIRIKI IFTAR ILIYOANDALIWA VIONGOZI NA MAKUNDI MBALIMBALI.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Iftar aliyowaandalia Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe...
MAKUBWA YAAHIDIWA ZIARA BODI YA NISHATI VIJIJINI MSOMERA.
Na Mwandishi wetu, Tanga
BODI ya Nishati Vijijini (REB) imefanya ziara Msomera, wilayani Handeni yaliko makazi mapya ya wananchi wanaoendelea kuhamia kwa hiari kutoka Hifadhi...