TAASISI YA IIT MADRAS KUENDELEA NA UTOAJI WA ELIMU YA TEKNOLOJIA MASHULENI
Na Nihifadhi Issa, zanzibar
JUMLA ya wanafunzi laki mbili hufanya maombi ya masomo kupitia Taasisi ya Teknolojia ya India (IIT MADRAS) kwa kila mwaka.
Hayo yamesemwa...
BALOZI DK. EMMANUEL NCHIMBI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI
Na Mwandishi wetu,
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, leo...
DK.KIJAJI ATAKA WADAU KUJIPANGA NA TEKNOLOJIA AKILI MNEMBA
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, DK.Ashantu Kijaji ametoa wito kwa wadau wote husika kujipanga kama Taifa ili kunufaika fursa zinazotokana na...
SAFARI YA KUENDELEZA VYANZO VIPYA VYA UMEME YASHIKA KASI
* Dkt.Biteko azindua utekelezaji mradi mkubwa wa umeme Jua Kishapu
* Ni wa megawati 150
* TANESCO, REA watakiwa kupelekea umeme wananchi kwa haraka
*Wakandarasi SUMA-JKT, TONTAN...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI TAMASHA LA TAWiFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwasili ukumbini kwa ajili ya uzinduzi wa Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania...
TUTAENDELEA KUIMARISHA USALAMA WA NCHI DHIDI YA MAJANGA NA MAAFA-MAJALIWA
Na Mwandishi wetu
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuhakikisha usalama wa nchi na mipaka yake dhidi ya majanga mbalimbali unaendelea kuimarishwa ili...
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA UMEME MKOANI ARUSHA
*Mradi wagharimu takribani Dola milioni 258
* Kunufaisha nchi zipatazo 13
Na Mwandishi wetu, Arusha
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara Mkoani...
PAC Yaridhishwa na Ubora wa Ujenzi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Na Jacquiline Mrisho – Maelezo
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amesema...
PURA Na DMI KUSHIRIKIANA
Na Esther Mnyika
Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa kushirikiana na Chuo cha Bahari Dar es salaam(DMI) katika kuhakikisha inamsaidia...
Rais Dk.Samia aandaa futari kwa viongozi mbalimbali
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Komredi Abdulrahman Kinana, akisalimiana na kuzungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel ...