Dar es Salaam huduma ya umeme kupatikana masaa 24-Dk. Samia
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan amesema...
DCEA yakamata kilo 10,783 za dawa za kulevya
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025,...
Darasa la nne kufanya mtihani wa mtaala mpya kesho
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
JUMLA ya wanafunzi 1,582,140 kutoka shule 20,517 zilizopo Tanzania Bara wamesajiliwa kushiriki katika Upimaji wa Kitaifa wa Darasa...
Viongozi wa dini wahimiza Watanzania kupiga kura, amani
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
VIONGOZI wa dini mbalimbali mkoani Mwanza, wametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kupiga kura kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge...
Wadau wamekutana kujadili nafasi ya mbegu za wakulima AfCFTA
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
WADAU kutoka serikalini, mashirika ya kiraia na wakulima wamekutana mkoani Morogoro kujadiliana kuhusu nafasi ya mbegu za wakulima kwenye Itifaki...
Chalamila amkabidhi Mjane Alice hati yake
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amemkabidhi hati ya nyumba mjane wa marehemu Justus Rugaibula,...
Serikali itaendelea kuwawezesha wajasiriamali-Majaliwa
▪️Asema Wajasiriamali ni nguzo katika kukuza uchumi
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa...
Kima cha chini mishahara sekta binafsi chaongezeka-Ridhiwani
Na Mwandishi wetu,Dar es Salaam
SERIKALI imetangaza nyongeza ya Kima cha chini cha Mshahara kwa sekta binafsi ambapo kimepanda kwa asilimia 33.4 hatua inayolenga...
Serikali itaendelea kufanya mageuzi sekta ya kilimo-Majaliwa
Na Mwandishi wetu,Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imedhamiria kuendelea kufanya mageuzi katika sekta ya kilimo ili kuhakikisha Tanzania inaendelea...
Dalili za uwepo wa gesi asilia zaonekana katika Kitalu cha Lindi-Mtwara
📍 Utafiti wa kina unaendelea katika Kitalu cha Lindi–Mtwara
📍 Dk. Mataragio akagua maendeleo ya mradi, aagiza ukamilike kwa wakati
📍 Akagua pia mradi wa kuongeza...












