Miradi ya maji inaendelea kujengwa nchini kote-Majaliwa
Mwanza
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan inaendelea na ujenzi wa miradi...
Nishati safi ya kupikia ni kipaumbele cha Serikali-Mhandisi Mramba
π Ashiriki Marathon ya Kuhamasisha Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia
π Asema Nishati Safi ya Kupikia itapunguza uharibifu wa mazingira na kulinda afya
Dar es...
Majaliwa:sanaa inamchango mkubwa katika kukuza uchumi
βͺοΈAwataka wasanii wawekeze zaidi katika sanaa ili kuongeza wigo wa ajira
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema sekta ya utamaduni na Sanaa ina...
Elimu ya nishati safi ya umeme kupikia yawakosha waandishi waendesha ofisi nchini
Arusha
WAANDISHI Waendesha Ofisi kutoka taasisi mbalimbali nchini wamelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuwapatia elimu sahihi ya matumizi ya Nishati Safi ya umeme...
Sekta ya Madini yakusanya zaidi ya bilioni 902 kati ya lengo la trilioni moja
Mchango Wafikia Asilimia 10. 1 katika Pato la Taifa (GDP) kwa mmoja kabla ya lengo
Dodoma
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya...
Rais wa Finland atembelea Makumbusho ya Taifa
Dar es Salaam
RAIS wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, ametembelea Makumbusho ya Taifa la Tanzania jijini Dar es Salaam na kuonesha kufurahishwa...
Serikali inaendelea kutekeleza miradi ya umeme kwenye maeneo ya mkakati _Kapinga
π Maeneo 300 tayari yamefikkwa
π Asisitiza gharama ya kuunganisha umeme Vijijini ni shilingi 27,000/-
Dodoma
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea...
Dk. Mwinyi aeleza majuto yake kwa Charles Hilary, atoa wito kwa waajiri
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kwa masikitiko majuto yake ya kutomweleza mapema...
Zaidi ya nyumba 800 Mtwara kuunganishwa na mfumo wa gesi ya kupikia _Kapinga
π Awasisitiza TPDC na REA kushirikiana ili kuongeza kasi ya kuunganisha gesi majumbani
π Asema Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia ni endelevu.
NAIBU...
Rais Samia: Nimetimiza maombi ya Hayati Msuya kabla hajatuaga
Na Esther Mnyika, β Kilimanjaro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema amepata faraja ya kipekee kutimiza maombi makubwa mawili...