Rais Dk. Samia awataka wakulima wa pamba kukaa mguu sawa
*Asema Serikali imeamua kuliinua zao hilo ili kukuza uchumi
Simiyu
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amezindua viwanda viwili cha Pamba na Mabomba mkoani Simiyu huku...
Majaliwa: Wakuu wa Mikoa hamasisheni wananchi kutumia huduma za msaada wa kisheria
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuhakikisha wanaendelea kuhamasisha wananchi kutumia huduma ya kisheria...
Bei ya kujaza gesi(LPG) kwa matumizi ya kupikia ni jimilivu-Kapinga
📌 Wizara ya Nishati na TAMISEMI zaendelea kushirikiana kuhakikisha Shule mpya zinafungwa mifumo ya Nishati Safi ya Kupikia
Simiyu
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema...
Mapinduzi ya ununuzi wa umma kidijitali
Eva Ngowi, na Chedaiwe Msuya, Arusha
TAASISI nunuzi zote nchini zimeelekezwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia matumizi sahihi ya mifumo ya kidijitali katika ununuzi...
Wanufaika mikopo Elimu ya Juu kuongezeka -Majaliwa
▪️Asema Rais Dkt. Samia amedhamiria kuendelea mazingira ya Elimu ya juu.
▪️Asisitiza Samia Scholarship pia kuwafikia wengi zaidi.
▪️rais wa TAHLISO asisitiza Oktoba Wasomi wako tayari...
Evelin: Mama anayepambana na mwanaye asiye na jinsia katikati ya umasikini
Na Esther Mnyika, Lajiji-Dar es Salaam
Katika pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam, ndani ya nyumba ya bati iliyochakaa kwenye mtaa wa Mkamba, kata...
Majaliwa kuzindua Samia Legal Aid Juni, 16 Dar es Salaam
-Ataka wananchi wajitokeze kwa wingi hususani wale wenye changamoto za maswala ya kisheria.
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kuzindua kampeni ya msaada...
Kampeni ya pika smart inayohamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia yazinduliwa
📌 Kamishna Luoga asisitiza matumizi ya umeme katika Nishati Safi ya Kupikia
Dar es Salaam
KAMISHINA wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga...
Watu tisa wafariki duni,44 wajeruhiwa katika ajali ya basi na lori Morogoro
Morogoro
WATU tisa wamefariki dunia papo hapo na wengine 44 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Hai lenye namba za usajili T523 EKM...
Dk. Nchemba shilingi trilioni 56.49 kutekeleza Bajeti 2025/26
Na Saidina Msangi, Dodoma
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba anamewasilisha Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali, ambapo ameliomba Bunge ridhaa ya kukusanya na kutumia...