WAJITEKA NA KUDAI PESA KUTOKA KWA WAZAZI WAO

Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata wasichana wawili kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo baada ya...

BAADA YA KUMALIZA KAZI YA KUPELEKA UMEME VIJIJINI SASA KASI INAHAMIA VITONGOJINI – KAPINGA

๐Ÿ“Œ Asema upelekaji umeme vitongojini umefikia asilimia 52.3 ๐Ÿ“Œ Asisitiza umeme kufika maeneo ya uchimbaji madini Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa...

MAGARI 150 YA ZIMAMOTO YANUNULIWA NA KUSAMBAZWA NCHI NZIMA: BASHUGWA

Dodoma WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuliimarisha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kulipatia vitendea kazi...

KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2025 KUADHIMISHWA KIPEKEE.

๐Ÿ“ŒDk. Samia Suluhu Hassan kielelezo cha kukuza usawa na uwezeshaji wanawake nchini. ๐Ÿ“ŒSerikali kuendelea kupambana na vitendo vya ukatili nchini dhidi ya Wanawake. ๐Ÿ“ŒWanaume mstari mbele...

RAIS DK.SAMIA: MAHAKAMA YA TANZANIA ITAKUWA NA MCHANGO MKUBWA KUIWEZESHA TANZANIA KUFIKIA...

Dodoma RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Mahakama ya Tanzania itakuwa na mchango mkubwa katika kuiwezesha Tanzania kufikia malengo yake ya maendeleo kama yatakayobainishwa...

AZMA YA SERIKALI NI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA UMEME WA UHAKIKA WAKATI WOTE- MHE. KAPINGA

๐Ÿ“Œ Serikali yafuatilia kwa karibu upatikanaji umeme Lushoto ๐Ÿ“Œ Vijiji vyote Nkasi vyafikiwa na huduma ya umeme Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema ni...

WATENDAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WALEDI

Tanga WATENDAJI wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Tanga na Pwani wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, bidii na moyo wa kujituma...

WANAJESHI WAWILI WA JWTZ WAFARIKI DUNIA DRC

Dodoma JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa limewapoteza Askari wake wawili (02) na wengine wanne (04) wamejeruhiwa Kufuatia mashambulizi ya...

DK. MASIKA ARIDHISHWA UTEKELEZAJI MRADI WA MEMBE

Dodoma MWENYEKITI Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Dk. Richard Masika amekiri kuridhishwa na hatua zinazofanywa na Tume katika utekelezaji miradi ya...

SERIKALI KUPITIA UPYA MASILAHI YA WALIMU.

Dodoma RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan Ameitaka Wizara ya Fedha, Wizara ya Mipango na Uwekezaji, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi...