TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA 19 JUKWAA LA KOROSHO AFRIKA 2025
Dar es salaam
TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 19 wa Mwaka wa Jukwaa la Korosho Afrika 2025 wenye lengo la kuonesha fursa za...
KUUNGANISHA UMEME MAENEO YA VIJIJI NI ELFU 27 โ KAPINGA
๐ Asema kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/-
๐ Kapinga asema maeneo ya Kerwa umeme umeshafika Makao Makuu ya Vijiji
Dodoma
NAIBU Waziri...
UONGOZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM UNATARAJIA KUFANYA MAZUNGUMZO TRC KUJENGA RELI YA...
Dar es Salaam
UONGOZI wa mkoa wa Dar es Salaam unatarajia kufanya mazungumzo na Shirika la Reli nchini (TRC) ili kuangalia kama kutakuwa na...
DK. BITEKO AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MIILI YA WANAFUNZI WALIOFARIKI KWA RADI GEITA
๐ Rais Samia atuma salamu za pole, agharamia misiba na mazishi
๐ Mkuu wa Wilaya Bukombe aishukuru Idara ya Afya kwa juhudi za maokozi
๐ Viongozi...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI WA EAC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika...
TANZANIA YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA BURUNDI KWENYE SEKTA YA NISHATI
๐Burundi yaipongeza Tanzania kwa mafanikio ya nishati
๐Wampongeza Rais Samia kudumisha amani nchini
Dar es Salaam
SERIKALI imeahidi kuendelea kushirikiana na nchi ya Burundi katika nyanja...
BASHUNGWA AINGIA MTAANI KUJIONEA POLISI ILIVYOIMARISHA USALAMA MKUTANO WA NISHATI – DAR
Dar es Salaam
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametembelea baadhi ya maeneo Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi...
REA YAENDELEA NA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI YA KILO SITA MKOANI KILIMANJARO
๐Mitungi ya gesi 19,530 kusambazwa mkoani Kilimanjaro
๐Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255
Kilimanjaro
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni...
TANZANIA KUZINDUA MPANGO MAHUSUSI WA KITAIFA WA NISHATI IFIKAPO MWAKA 2030
Dar es Salaam
RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni moja Kati ya nchi 12 zitakazozindua Mpango Mahususi wa kitaifa kuhusu...