Tanzania mwenyeji wa tuzo za 32 za Kimataifa za Utalii

Na Sophia Kingimali, Dar es salaam. TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa tuzo za 32 za kimataifa za utalii kwa kanda wa Afrika na bahari ya...

Dunia inaiangalia Tanzania na Afrika Mashariki kuwa kitovu cha utalii-Dk.Biteko

📌 Aatoa maagizo matatu kwa Wizara ya Maliasili 📌 Rais Samia aiweka Tanzania kwenye ramani ya utalii duniani 📌 Mapato ya utalii yaongezeka hadi bilioni 3.9...

Dk. Mpango Taasisi 762 zatumia nishati safi ya kupikia nchini

📌 Taasisi chini ya Wizara ya Nishati zqpewa tuzo kutambua mchango wao katika Gesi, Umeme na Nishati Jadidifu Dodoma MAKAMU wa Rais Dk. Philip Isdor...

Dk.Biteko aweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo kikubwa cha gesi Afrika Mashariki

📌 Tanga kuwa Kitovu cha Nishati nchini 📌 Dkt. Biteko Asisitiza Ajira Kwa Wazawa 📌Kampeni ya Rais Samia ya Nishati Safi ya Kupikia Yavutia Wawekezaji 📌Matumizi ya...

Khamis: Ameitaka TASAC kuendelea kutoa elimu kwa wananchi

Dodoma NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis amelitaka Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kuendelea...

Majaliwa: TBS hakikisheni soko la Tanzania linakuwa na bidhaa bora

▪️Asisitiza Tanzania sio shimo la bidhaa zisizokuwa na ubora ▪️Ataka viwanda kuzalisha bidhaa bora zinazouzika ndani na nje ya nchi Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameutaka...

Utendaji kazi wa Wizara na Nishati na Taasisi zake waimrika kwa zaidi ya...

📌 Dk. Biteko apongeza; akumbusha Watendaji umuhimu wa tathmini katika kuboresha utendaji kazi 📌 Ataka TANESCO kuendelea kuboresha miundombinu ya umeme; kubuni vyanzo vipya 📌 Aziagiza...

LATRA yaja na mfumo mpya wa VTS wa kufuatilia mwenendo wa daladala

Dodoma MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeanzisha mfumo mpya wa ufuatiliaji wa mwenendo wa daladala nchini zikiwemo zinazokatisha ruti kinyume na leseni zao. Pia...

Majaliwa: Wekeni vituo vya kuchakata taka katika maeneo yenu.

▪️Ataka jamii na vijana washirikishwe kwenye biashara ya kaboni Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amezitaka halmashauri zote nchini zihakikishe kuwa zinaweka vituo vya...

Vitongoji 284 Arumeru Mashariki vyafikiwa na umeme

📌 Ni kati ya Vitongoji 330 vya Jimbo la Arumeru Mashariki. 📌Kapinga asema upelekaji umeme unafanyika kwa awamu kulingana na upatikanaji wa fedha Dodoma NAIBU Waziri...