Wizara ya Elimu yaanzisha mfumo wakuwabana wanaoacha shule- Profesa Mkenda

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam WIZARA ya Elimu Sayansi na Teknolojia imekiri uwepo wa wanafunzi wanaoacha shule kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo zakifamilia...

DK. Mwigulu: wafanyabiashara wasinyang’anywe bidhaa zao

Na Mwandishi wetu, Dodoma  WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ametoa maagizo kwa viongozi wa majiji na halmashauri zote nchini kuhakikisha wafanyabiashara hawanyang’anywi bidhaa zao...

Profesa Kitila: Vijana lazima kubadili mtazamo ili kupambana na ukosefu wa ajira

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema vijana wengi bado wamekwama...

Tanzania yashinda Tuzo ya dunia katika sekta ya utalii

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam TANZANIA imepata tena heshima kubwa baada ya kushinda tuzo ya dunia katika sekta ya utalii wa safari kwa...

Waziri Ndejembi azindua Mita Janja

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam SERIKALI imeendelea kuimarisha sekta ya nishati kupitia uwekezaji mkubwa wa zaidi ya shilingi trilioni 13.5 katika miradi 41...

Dk.Migiro: Tunao wajibu kwa Tanzania iliyo salama

Na Mwandishi wetu, Dodoma KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Asha Rose Migiro amesema Watanzania wote kwa pamoja, wanaowajibu wa kuhakikisha taifa...

DCEA yataifisha mali za bilioni 3,yakamata kilogramu 3,799.22 ya dawa za kulevya

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni mbalimbali zilizofanikisha ukamataji wa jumla ya kilogramu...

Rais Dk.Samia viongozi wa dini msivuruge amani

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kuacha kujivika majoho ya kuendesha nchi kwa utashi wao...

Waliofanya fujo Oktoba 29 walitaka kuiangusha serikali-Rais Dk.Samia

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amesema matukio ya Uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,...

Dawa za kufubaza makali ya VVU (ARV) zipo kwa asilimia 100-Lukuvi

Na Mwandishi Wetu-Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi, amewahakikishia Watanzania kuwa dawa...