JAB yaonya vyuo na watu wanaojaribu kuingia kweye tasnia ya habari kwa kugushi vyeti

Na Esther Mnyika, Lajiji Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imetoa onyo kali kwa vyuo na watu wote wanaojaribu kuingia kwenye taaluma ya...

Rais Samia awaonya wanaotaka kuvuruga amani

Na Esther Mnyika, Lajiji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amezielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...

Miradi ya maji inaendelea kujengwa nchini kote-Majaliwa

Mwanza WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan inaendelea na ujenzi wa miradi...

Nishati safi ya kupikia ni kipaumbele cha Serikali-Mhandisi Mramba

๐Ÿ“Œ Ashiriki Marathon ya Kuhamasisha Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ๐Ÿ“Œ Asema Nishati Safi ya Kupikia itapunguza uharibifu wa mazingira na kulinda afya Dar es...

Majaliwa:sanaa inamchango mkubwa katika kukuza uchumi

โ–ช๏ธAwataka wasanii wawekeze zaidi katika sanaa ili kuongeza wigo wa ajira Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema sekta ya utamaduni na Sanaa ina...

Elimu ya nishati safi ya umeme kupikia yawakosha waandishi waendesha ofisi nchini

Arusha WAANDISHI Waendesha Ofisi kutoka taasisi mbalimbali nchini wamelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuwapatia elimu sahihi ya matumizi ya Nishati Safi ya umeme...

Sekta ya Madini yakusanya zaidi ya bilioni 902 kati ya lengo la trilioni moja

Mchango Wafikia Asilimia 10. 1 katika Pato la Taifa (GDP) kwa mmoja kabla ya lengo Dodoma WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya...

Rais wa Finland atembelea Makumbusho ya Taifa

Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, ametembelea Makumbusho ya Taifa la Tanzania jijini Dar es Salaam na kuonesha kufurahishwa...

Serikali inaendelea kutekeleza miradi ya umeme kwenye maeneo ya mkakati _Kapinga

๐Ÿ“Œ Maeneo 300 tayari yamefikkwa ๐Ÿ“Œ Asisitiza gharama ya kuunganisha umeme Vijijini ni shilingi 27,000/- Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea...

Dk. Mwinyi aeleza majuto yake kwa Charles Hilary, atoa wito kwa waajiri

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kwa masikitiko majuto yake ya kutomweleza mapema...