Vijana 423 Mirerani na Lemishuku wakabidhiwa leseni kipitia mradi wa MBT

▪︎ Ahadi ya Rais Dk. Samia kugawa leseni kwa vijana wachimbaji wa madini ya vito imeanza kutekelezwa Lemshuku na Mirerani ▪️ Ni leseni mpya...

NIDA yatoa wito kwa wananchi kufanya marekebisho ya taarifa za usajili

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa wito kwa wananchi wenye changamoto za taarifa zao za usajili wa...

Ufanisi wa TANESCO katika utekelezaji na usimamizi wa miradi umeleta mfumo madhubuti wa...

📌 Akagua mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa Chalinze -Dodoma atoa agizo ukamilike kwa wakati 📌 Asema ni mradi mkubwa wa Sh bilioni 556...

DK. Mwigulu awaonya wavunjifu wa Sheria

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amevitaka vyombo vinavyosimamia usalama barabarani vitekeleze sheria hizo bila upendeleo kwani tabia ya kuogopana...

Ndejembi: Tanzania ina umeme wa kutosha

📌 Akagua mradi wa JNHPP: Asema ujenzi wa njia ya umeme Chalinze – Dodoma unaendelea 📌 Atoa rai kwa watanzania kulinda vyanzo vya maji ili...

Mkurugenzi Mkuu DIB ashiriki mkutano mkuu IADI-AGM

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB), Isack Kihwili (wa tatu kutoka kushoto) akishiriki katika kikao jijini Lisbon, Ureno ambako unafanyika Mkutano...

Dk. Mwigulu azungumza na Wahariri wa vyombo vya habari

▪️Asisitiza kuwa Tanzania na Rasilimali zake zitalindwa kwa gharama yoyote ile. Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba anazungumza na Wahariri...

Dk Kijaji ataka utu maliasili, utalii

Na Mwandishi wetu, Morogoro WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk .Ashatu Kijaji na naibu wake Hamad Chande, wamewataka maofisa na askari wa uhifadhi nchini kuendeleza...

Waziri Mkuu atoa siku10 miundombinu ya muda irejeshwe Dar es Salaam

 Asema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefuta maadhimisho ya 09/12 Aagiza fedha zake zitumike kurejesha miundombinu iliyoharibika Rais Samia aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima lifunguliwe Na...

Wahamiaji haramu 14 wakamatwa mwanza

Na Mwandishi wetu, Mwanza JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria, kwa...