Rais Dk.Mwinyi azindua mauzo ya nyumba za kisasa Kisakasaka
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya...
TANESCO mnefanya mageuzi makubwa katika huduma ya umeme kwa Wananchi-Ndejembi
📌 Aelekeza kuongeza kasi na ubunifu katika kuunganishia wananchi umeme
📌 Asisitiza hatua kali za kisheria kwa wakandarasi wazembe
Na Mwandishi wetu,Dodoma
WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi,...
Dk. Nchemba aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake
Na Mwandishi wetu, Singida
WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya...
Mpogolo atoa wito kwa viongozi kupambana na uwizi wa umeme
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka viongozi wa serikali za mitaa, na madiwani, kuwa mstari wa...
Rais Dk. Samia: kachunguzeni uwepo wa taarifa kwamba vijana walilipwa fedha
Na Mwandishi wetu, Dodoma
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati wa Uchaguzi Mkuu...
Mohamed Othman Chande kuongoza Tume ya Uchanguzi vurugu za Oktoba 29
Na Mwandishi wetu, Dodoma
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 18, 2025 kwa mamlaka aliyonayo ameunda Tume huru ya kufanya uchunguzi wa...
Ndejembi asisitiza utekelezaji wa vipaumbele vya serikali kufukia 2030
📌Asema siku mia moja za Rais ni dira ya kufikia malengo
📌Asisitiza ushirikiano baina ya watumishi na viongozi ndani ya Wizara ya Nishati
Na Mwandishi wetu,...
Rais Dk.Samia: Tutatumia Rasilimali zetu kuijenga Tanzania
Na Mwandishi wetu, Dodoma
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema vurugu na uharibifu uliotokea nchini unaweza kuipunguzia sifa Tanzania ya kuweza kupata mikopo na...
Amani ya kudumu haiwezi kupatikana bila maendeleo jumuishi na endelevu- Dk. Nchimbi
Na Mwandishi wetu, Congo
WITO wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda...












