Doyo aahidi kurejesha reli ya Masasi-Dar es Salaam
Na Mwandishi wetu, Mtwara
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, ameahidi kuwa serikali yake,...
Gombo: Nikiwa rais kuunda tume ya kuchunguza utekaji na mauaji watu
Na Mwandishi wetu, Mbeya
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo amesema atakapoapishwa kuwa rais...
Odinga kuzikwa Jumapili Bondo
Nairobi, Kenya
Kamati ya Kitaifa inayoandaa Mazishi ya Kitaifa ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, imetangaza kwamba mazishi yake yatafanyika Jumapili nyumbani...
Dk. Samia kukomesha tatizo la maji Muleba kwa maji ya Ziwa Viktoria
Na Mwandishi Wetu, Kagera
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kutatua changamoto ya...
Dk. Mwinyi aahidi nafasi zaidi za uongozi kwa watu wenye ulemavu Zanzibar
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuimarisha uwezeshaji wa watu wenye...
Dk.Samia ajivunia mafanikio makubwa utekelezaji wa Ilani muleba
Na Mwandishi wetu, Kagera
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali...
Tunaziongezea thamani hifadhi za Burigi Chato na Rubondo-Dk.Samia
Na Mwandishi wetu, Geita
MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan amesema katika...
Wenje atimkia CCM, Awashangaa wanaohamasisha maandamano Oktoba 29
Na Mwandishi wetu, Geita
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Ziwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho...
Zitto aahidi kupambana na ufisadi na kusimamia haki
Na Mwandishi wetu, Kigoma
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameahidi kupambana na ufisadi, kusimamia haki,...
Gombo aahidi kununua meli kubwa ya kisasa
Na Mwandishi wetu, Ruvuma
MGOMBEA Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amesema atakapopata ridhaa...












