Gavu asisitiza kuimarisha ushirikiano Tanzania, China
China
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Oganaizesheni, Issa Gavu, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza uhusiano baina ya Tanzania na Jamhuri...
KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA...
Dar es Salaam
KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar ea Salaam imefanya ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa...
CCM YAMJIBU JAJI WARIOBA, YASEMA CCM HAINA MGOGORO NA CHADEMA
•CCM inaheshimu ushauri wa jaji Warioba ila bahati mbaya CCM ina mahusiano mazuri na chadema
•Wamuomba awe msuluhishi wa Mgogoro ndani ya chadema na CCM...
JAJI MUTUNGI : VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KUHIMIZA WANANCHI NA WANACHAMA WAO KUFUATA...
Dar es Salaam
MSAJILI wa Vyama Vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa kuwahimiza wananchi wakiwemo wanachama wao, kufuata sheria...
WASIRA: DEMOKRASIA SIO VURUGU
Ataka isitumika kuchochea shari kama wanavyofikiri baadhi ya wanasiasa.
Kongwa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema maana ya demokrasia ni...
VIONGOZI CCM ACHENI KUWAHAIDI UTEUZI WAGOMBEA- MAKALLA
•Asema kuendelea kuahidi uteuzi wagombea ni Sawa na Betting mkeka unawezakuchanika
Pwani
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi ( CCM),CPA Amos...
WASIRA KURINDIMA SIKU TANO MKOANI DODOMA
Anatarajiwa kuanza ziara ya kishindo kuimarisha Chama
Pia ataweka mawe ya msingi katika miradi ya maendeleo
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen...
MAKALLA: UBORESHAJI WA BANDARI UMEONGEZA MAPATO NA KASI YA UONDOSHAJI MAKONTENA BANDARINI
Zaidi ya shilingi Bilioni 432 zimewekezwa ununuzi vifaa vya kisasa na mifumo
•Siku za kuondosha mskasha zimepungua kutoka siku 40 hadi siku 0 au 3
•uingizaji...
WASIRA AKUTANA NA KADINALI PROTASE RUGAMBWA TABORA
Tabora
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu...
WASIRA: WATANZANIA KATAENI KUYUMBISHWA NA WASIOTAKIA MEMA NCHI.
Tabora
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi.
Ameisitiza kuwa amani iliyopo si...








