Uteuzi wa wagombea CCM kufanyika Julai, 28
Na Mwandishi wetu, Dodoma
KATIBU Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema maandalizi ya mchakato wa uchaguzi ndani...
Watiania 1616 wajitokeza NLD Ubunge na Udiwani
Na Mwandishi Wetu, TANGA
CHAMA cha Nation League for Democracy (NLD) kimetangaza idadi ya watia kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani kwaajili ya kuomba ridhaa...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa rai kwa wananchi kujitokeza sabasaba ...
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imetoa rai kwa wananchi kujitokeza kwenye maonesho ya 49...
Dk.Njama Kuwania Jimbo la Kibamba
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MTUMISHI wa Idara ya Afya katika Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Dk. Ally Njama, amejitokeza kuchukua...
Dk. Walter achukua fomu kuwania jimbo la Kibamba
Sophia Kingimali, Dar es Salaam
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.Walter Nnko, amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Kibamba.
Akizungumza na...
Sekreterieti ya CCM ikitathimini uchukuaji wa fomu
Na Mwandishi wetu
SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CCM,...
Asenga leo Juni,28 achukua fomu ya kuwani Ubunge kipindi cha pili
Na Mwandishi wetu, Morogoro
MBUNGE wa Jimbo la Kilombero kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abubakar Asenga leo Jumamosi Juni 28, 2025 amechukua fomu...
Wasira: CCM hatutaki mgombea ila tunateua wachache kati ya wengi
Na Mwandishi wetu, Mwanza
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema kazi iliyobaki baada ya kuvunja Bunge ni kuendesha taratibu za namna...
Museveni kuwania tena Urais Uganda 2026
Kampala, Uganda
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amethibitishwa kuwa atawania tena urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mapema mwaka 2026, hatua itakayoongeza muda wake...
Rais Mwinyi: Mafanikio ya Serikali yamechangiwa na Baraza la Wawakilishi
Na Mwandishi Wetu – Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mafanikio yaliyopatikana katika Serikali ya Awamu...