Iran: Lazima Tujibu Mashambulizi ya Marekani – Waziri wa Mambo ya Nje
Tehran, Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa taifa lake halina budi kujibu mashambulizi ya Marekani dhidi ya vituo vya...
Madai sita ya ACT Wazalendo kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba Mwaka huu
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
KUELEKEA kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Oktoba Mwaka huu,Chama Cha Act Wazalendo kimeendelea kusisitiza madai sita ikiwemo Makamishna wa...
Kaeni kimya kama hamjui nchi ilikotoka-Wasira
Na Mndishi Wetu, Geita
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema tangu kupata uhuru Tanzania imepata maendeleo makubwa na kwamba...
Demokrasia sio ruhusa ya kutukana wengine-Wasira
Ruvuma
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya...
Mitano tena ni kwa Dk.Samia tu,wengine subirini kuchujwa_Wasira
Ruvuma
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, ‘Mitano Tena’ ni kwa mgombea...
Wasira akoleza moto wa kampeni Oktoba tunatiki
Ruvuma
MAKUMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewaonya wanachama wa CCM na Watanzania kwa ujumla, wasidanganywe na kauli mbiu...
Makalla:Tanzania na Kenya tuna uhusiano mzuri wa kihistoria
TARAKEA- ROMBO
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uhusiano uliopo kati ya...
Wasira: hatuahirishi Uchaguzi Mkuu ng’o
Ruvuma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo...
Sheikh Ponda ajiunga na ACT Wazalendo
Dar es Salaam
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania ,Sheikh Ponda Issa Ponda amejiunga rasmi, Chama cha Act Wazalendo huku akipewa rasmi...
Ntobi wa Chadema aibukia ACT Wazalendo
Dar es Salaam
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Shinyanga, Emanuel Ntobi, leo Juni, 3 2025 amejiunga rasmi na...