CCM kufadhili kitabu cha Mzee Songambele kuenzi historia ya nchi
*Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dk. Samia msibani
Ruvuma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee...
Samia: Tusigwajimanize CCM, vikao vichuje wagombea kwa haki na uadilifu
Na Esther Mnyika, Dodoma
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito mzito...
Hemed: SMZ imetekeleza Ilani ya CCM kwa kishindo
*Dk Mwinyi ameweka alama ya kipekee Zanzibar
Na Esther Mnyika, Lajiji-Dodoma
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,...
Dk.Biteko ataja maeoneo sita ya vipaumbele utekelezaji wa ilani ya CCM 2020/2025
📌 CCM yajivunia kuimarisha upatikanaji wa huduma bora kwa jamii
📌 Rais Samia asema CCM kuzindua Ilani yake kesho
📌 CCM yazalisha ajira 800,000 kwa vijana...
Idadi ya wananchama CCM yavuka milioni 13, yafanya mabadiliko ya Katiba kuendana na teknolojia
Na Esther Mnyika, Dodoma
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea jumla ya wanachama wapya 13,000,670 hadi kufikia Mei 29, 2025, ikiwa ni ongezeko kubwa linaloashiria kuendelea...
Dk. Samia: CCM itazindua Ilani mpya ya Uchaguzi kesho
Na Esther Mnyika, Dodoma
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema chama hicho...
Makalla: ccm itaendelea kutatua kero za wananchi
•Aongea na wananchi DUMILA na kusikiliza kero
Morogoro
KATUBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi(CCM) CPA, Amos Makalla amesema chama hicho,...
Gavu asisitiza kuimarisha ushirikiano Tanzania, China
China
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Oganaizesheni, Issa Gavu, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza uhusiano baina ya Tanzania na Jamhuri...
KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA...
Dar es Salaam
KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar ea Salaam imefanya ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa...
CCM YAMJIBU JAJI WARIOBA, YASEMA CCM HAINA MGOGORO NA CHADEMA
•CCM inaheshimu ushauri wa jaji Warioba ila bahati mbaya CCM ina mahusiano mazuri na chadema
•Wamuomba awe msuluhishi wa Mgogoro ndani ya chadema na CCM...