JAJI MUTUNGI : VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KUHIMIZA WANANCHI NA WANACHAMA WAO KUFUATA...

Dar es Salaam MSAJILI wa Vyama Vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa kuwahimiza wananchi wakiwemo wanachama wao, kufuata sheria...

WASIRA: DEMOKRASIA SIO VURUGU

Ataka isitumika kuchochea shari kama wanavyofikiri baadhi ya wanasiasa. Kongwa MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema maana ya demokrasia ni...

VIONGOZI CCM ACHENI KUWAHAIDI UTEUZI WAGOMBEA- MAKALLA

•Asema kuendelea kuahidi uteuzi wagombea ni Sawa na Betting mkeka unawezakuchanika Pwani KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi ( CCM),CPA Amos...

WASIRA KURINDIMA SIKU TANO MKOANI DODOMA

Anatarajiwa kuanza ziara ya kishindo kuimarisha Chama Pia ataweka mawe ya msingi katika miradi ya maendeleo MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen...

MAKALLA: UBORESHAJI WA BANDARI UMEONGEZA MAPATO NA KASI YA UONDOSHAJI MAKONTENA BANDARINI

Zaidi ya shilingi Bilioni 432 zimewekezwa ununuzi vifaa vya kisasa na mifumo •Siku za kuondosha mskasha zimepungua kutoka siku 40 hadi siku 0 au 3 •uingizaji...

WASIRA AKUTANA NA KADINALI PROTASE RUGAMBWA TABORA

Tabora MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu...

WASIRA: WATANZANIA KATAENI KUYUMBISHWA NA WASIOTAKIA MEMA NCHI.

Tabora CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi. Ameisitiza kuwa amani iliyopo si...

MAKALLA AANZA ZIARA MKOA WA LINDI

•Akagua barabara na madaraja SOMANGA •Atoa pole na kumshukuru Rais Samia kutoa fedha zaidi Bilioni 100 kujenga madaraja •Ampongeza Waziri Abdallah Ulega na Tanroad kwa kuwahi...

MCHOME AMBANANISHA LISSU

Dar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro Lembrus Mchome amemuomba Msajili wa Vyama Vya...

BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA

Ruvuma KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM...