NLD yatoa dira ya uongozi 2025/30 kwenye uzinduzi wa kampeni Uchaguzi Mkuu
Na Mwandishi wetu, Tanga
MGOMBEA urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni leo Septemba, 4 2025 jijini Tanga...
Flatei atimka ACT arejea CCM kusaka kura za ushindi
Na Mwandishi wetu, Manyara
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Mbulu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Flatei Maasai ametangaza kurejea CCM akitokea ACT Wazalendo ambako...
Wasira: kwa kazi kubwa aliyoifanya Dk.Samia anastahili kuchaguliwa aendelee kuongoza
Na Mwandishi Wetu,Babati
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema wakati wanamuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Dk....
Dk. Mwinyi achukua fomu ya urais Zanzibar
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ambaye pia ni Mgombea wa Urais wa...
Doyo Kuzindua Kampeni za Urais wa NLD Septemba 4
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kuwataarifu wananchi, na wanachama wake, vyombo vya habari kuwa Uzinduzi...
UVCCM Yazindua Kijani Ilani Chatbot kwa Ajili ya Vijana
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, (MCC) amezindua rasmi Kijani Ilani Chatbot, mfumo wa...
Jaji Mutungi: amewaasa wagombea kuepuka lugha za matusi katika kampeni za Uchaguzi Mkuu
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi amewaasa wagombea wa vyama vya siasa katika kuelekea kampeni za...
CCM Mkoa wa Dar es Salaam yatangaza Majina ya wagombea wa udiwani
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
KATIBU wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Dar es Salaam,...
Mgombea urais wa Chama cha NLD Doyo akabidhiwa fomu na INEC
Na Mwandishi wetu, Dodoma
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo, leo...
Dk.Samia kuchukua fomu ya Urais CCM kesho
Na Mwandishi Wetu,Dodoma
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuchukua...












