Wasira: hatuahirishi Uchaguzi Mkuu ng’o

Ruvuma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo...

Sheikh Ponda ajiunga na ACT Wazalendo

Dar es Salaam KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania ,Sheikh Ponda Issa Ponda amejiunga rasmi, Chama cha Act Wazalendo huku akipewa rasmi...

Ntobi wa Chadema aibukia ACT Wazalendo

Dar es Salaam ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Shinyanga, Emanuel Ntobi, leo Juni, 3 2025 amejiunga rasmi na...

CCM kufadhili kitabu cha Mzee Songambele kuenzi historia ya nchi

*Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dk. Samia msibani Ruvuma KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee...

Samia: Tusigwajimanize CCM, vikao vichuje wagombea kwa haki na uadilifu

Na Esther Mnyika, Dodoma MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito mzito...

Hemed: SMZ imetekeleza Ilani ya CCM kwa kishindo

*Dk Mwinyi ameweka alama ya kipekee Zanzibar Na Esther Mnyika, Lajiji-Dodoma Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,...

Dk.Biteko ataja maeoneo sita ya vipaumbele utekelezaji wa ilani ya CCM 2020/2025

๐Ÿ“Œ CCM yajivunia kuimarisha upatikanaji wa huduma bora kwa jamii ๐Ÿ“Œ Rais Samia asema CCM kuzindua Ilani yake kesho ๐Ÿ“Œ CCM yazalisha ajira 800,000 kwa vijana...

Idadi ya wananchama CCM yavuka milioni 13, yafanya mabadiliko ya Katiba kuendana na teknolojia

Na Esther Mnyika, Dodoma Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea jumla ya wanachama wapya 13,000,670 hadi kufikia Mei 29, 2025, ikiwa ni ongezeko kubwa linaloashiria kuendelea...

Dk. Samia: CCM itazindua Ilani mpya ya Uchaguzi kesho

Na Esther Mnyika, Dodoma Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema chama hicho...

Makalla: ccm itaendelea kutatua kero za wananchi

โ€ขAongea na wananchi DUMILA na kusikiliza kero Morogoro KATUBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi(CCM) CPA, Amos Makalla amesema chama hicho,...