GAVANA TUTUBA: Taasisi ambayo haitajisajili TAMFI AU TAMIU kufutwa Disemba
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imekuja na mbinu ya kudhibiti mikopo umiza kwa Watanzania kwa kuzitaka taasisi zote...
EADB yatoa bilioni 63.2 kuiwezesha taasisi za fedha Tanzania
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
BENKI ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) imesaini hati ya makubaliano matatu ya kifedha na taasisi zinazoongoza...
Dk. Nchemba azitaka taasisi za fedha kujiunga na mfumo wa sema na BoT
Na Josephine Majura, Dodoma
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ameiagiza Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kusimamia na kuhakikisha Benki na Taasisi zote za...
Tanzania, Namibia kukuza ushirikiano wa kiuchumi, nishati na biashara
Na Esther Mnyika, Lajiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Namibia zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, hususan...
Mchechu: Ni wakati wa Tanzania kunadi fursa za uwekezaji kimataifa
Na Mwandishi wetu,Ivory Coast
KATIKA jukwaa kubwa la viongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, maarufu kama Africa CEO Forum, Tanzania imeendelea kujidhihirisha kama taifa...
TUTAENDELEA KUDHIBITI UHALIFU WA KIFEDHA-MAJALIWA
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itaendelea kushiriki na kutimiza matakwa ya kimataifa katika kupambana na kudhibiti uhalifu wa kifedha.
Amesema...
RAIS DK. MWINYI: UCHUMI WA ZANZIBAR UMEKUA KWA ASILIMIA 7
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Uchumi wa Zanzibar Umeendelea kukua kila Mwaka ambapo sasa umefikia...
RIBA YA BENKI KUU KUENDELEA KUWA ASILIMIA 6
Dar es Salaam
KAMATI ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania ( BoT) imeamua kuendelea na Kiwango cha Riba ya Benki Kuu...
TCB KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUJENGA UCHUMI IMARA
Dar es Salaam
BENKI ya Biashara ya Tanzania ( TCB) imesema dhamira yake ni kushirikiana na Serikali katika kujenga uchumi imara na kuimarisha uchumi...
BoT YATOA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI
Dar es Salaam
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) Machi 24,2025 imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari.
Taarifa hiyo, iliyochapishwa...











