MUHIMBILI YATOA ELIMU YA UGONJWA WA FIGO KWA WAKUU WA SHULE DAR ES SALAAM...
                    
Dar es Salaam 
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imetoa elimu kuhusu ugonjwa ya figo na magonjwa yasiyoambukiza kwa walimu wakuu wa shule za...                
            MOI KUBORESHA MFUMO WA UTOAJI WA TAARIFA KWA NDUGU WA WAGONJWA WANAOFANYIWA UPASUAJI
                    
Morogoro 
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imejipanga kuboresha utoaji wa taarifa za mwenendo wa upasuaji wa wagonjwa kwa ndugu wa...                
            MOI YANUFAIKA USHIRIKIANO KIMATAIFA
                    
Dodoma 
TAASISI ya Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili yaendelea kuimarisha ushirikiano na Taasisi mbalimbali za kimataifa katika kufanya kambi...                
            WATOTO 13 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUNYOOSHA KIBIONGO MOI
                    
Dar es Salaam 
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13 wamefanyiwa...                
            DK. KISENGE:WATU ZAIDI YA MIL 17 HUPOTEZA MAISHA KWA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA IKIWEMO UGONJWA WA...
                    
Na Deborah Lemmubi, Dodoma.
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Peter Kisenge amesema zaidi ya watu miilioni 17 hupoteza maisha...                
            RAIS DK. MWINYI : SERIKALI IMEDHAMIRIA KUMALIZA MATATIZO YA KIAFYA WANAYOKABILIANA NAYO WANANCHI...
                    
Zanzibar 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kumaliza Matatizo ya kiafya wanayokabiliana nayo Wananchi...                
            WAZAZI WALETENI WATOTO WENYE KIBIONGO WAFANYIWE UCHUNGUZI MOI
                    
Dar es Salaam 
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetoa wito kwa wazazi au walezi wa watoto wenye tatizo la kibiongo...                
            WENYE MATATIZO YA MACHO WAENDELEA KUPATIWA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE
                    
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wenye matatizo ya macho mkoani Mara wameendelea kupata matibabu kutoka kwa madaktari bingwa kwenye hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Pia huduma...                
            TAMA KWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI,UNFPA NA CHAMA CHA WAKUNGA CANADA WAMEANDAA MAFUNZO MAALUM YA...
                    
Na Esther Mnyika, @lajiji.co.tz 
CHAMA Cha Wakunga Tanzania (TAMA) kwa kushirikiana na serikali ,UNFPA na Chama cha Wakunga Canada wameanda mafunzo maalumu ya huduma...                
            MOI YAANZA RASMI KUFANYA UPASUAJI WA UTI WA MGONGO KWA NJIA YA MATUNDU
                    
Dar es Salaam 
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza rasmi kutoa huduma mpya za upasuaji uti wa mgongo kwa kutumia...                
            