MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO AFRIKA DUNIA KWA AJALI
Mara
MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 13, 2025 katika ajali...
FEDHA ZILIZOKUSANYWA BUNGE MARATHONI ZINATUMIKA IPASAVYO-MAJALIWA
Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania fedha zilizokusanywa katika mbio za hisani za Bunge zitakwenda kutumika kama ilivyokusudiwa.
Ameyasema hayo leo Jumamosi, Aprili 12,...
KAMATI ZA BUNGE ZAPEWA MAFUNZO NA OFISI YA MSAJILI HAZINA
Dodoma
OFISI ya Msajili wa Hazina imeendesha mafunzo kwa Kamati tatu za Kudumu za Bunge kuhusu Mageuzi, Mafanikio, Mikakati na Mwelekeo wa Ofisi hiyo.
Mafunzo hayo...
MABALOZI KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA KIMATAIFA
📌Ziara ya utalii ya Mabalozi kuchochea ushirikiano wa Tanzania na mataifa mengine
Dar es Salaam
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...
SERIKALI INAENDELEA NA UKARABATI WA MIUNDOMBINU YA UMEME – KAPINGA
📌 Lengo ni kuondokana na changamoto ya kukatika kwa umeme
📌 Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Kilindi, Tanga waffikia asilimia 35.
📌Bilioni...
ECOP YAKABIDHI CHETI CHA HAKI KIMILA YA UMILIKI WA ARDHI KWA JAMII YA...
Kiteto
MRADI wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), umekabidhi cheti cha haki ya kimila ya umiliki ya ardhi ya kimila ya umiliki...
VITONGOJI 9000 KUSAMBAZIWA UMEME MWAKA 2025/2026- KAPINGA
📌 Majimbo yaendelea kufaidika na mradi wa umeme wa Vitongoji 15.
Dodoma
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini...
KAPINGA ASEMA KAZI YA KUPELEKA UMEME KWENYE MIGODI MIDOGO INAENDELEA
📌 Wachimbaji wa chumvi pia wafikiwa
📌 Wananchi Kibiti wampongeza Rais Samia kwa mradi wa umeme wa zaidi ya shilingi Bilioni 3.8.
📌 Kituo cha umeme...
WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI KUISHI FALSAFA ZA RAIS DK. SAMIAÂ
Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuza diplomasia ya kiuchumi kati...
RAIS MWINYI AKUTANA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA UINGEREZA TONY BLAIR.
Uingereza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amemshukuru Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Muanzilishi na...