RAIS DK.SAMIA KUHUTUBIA JUKWAA LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA

Na Esther Mnyika @Lajiji Digital RAIS  Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kushiriki katika mkutano wa kilele cha wakuu wa nchi kuhusu nishati safi ya...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA CRCC, DAI HEGEN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa China Railway Construction Corporation (CRCC) Ndugu Dai Hegen ambaye ameongozana...

DK.MWINYI AKUTANA NA ASKOFU MKUU WA ANGLIKANA DUNIANI WELBY.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Kanisa la Kianglikana...

SERIKALI YAPONGEZA MCHANGO WA RED CROSS TANZANIA

📌Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Ubinadamu;📌Ombi la ruzuku kwa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania lafanyiwa kazi; Na Mwandishi wetu, Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na...

MATUKIO KATIKA PICHA- MIAKA 62 YA CHAMA CHA MSALABA MWEKUNDU TANZANIA (TANZANIA REDCROSS SOCIETY)

Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya Miaka 62 ya Chama Cha Msalaba Mwekundi Tanzania inayofanyika leo Mei 11, 2024 katika...

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA MBEYA TULIA MARATHON 2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024 zilizoandaliwa na Taasisi Isiyo ya Kiserikali...

MIFUMO WA PAMOJA WA UKUSANYAJI TOZO KUANZISHWA ILI KURAHISISHA UFANYAJI BIASHARA

Na Mwandishi wetu, Mbeya WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji amesema Serikali inaendelea na mchakato wa kuandaa mfumo mmoja wa ukusanyaji...

TUENDELEE KUIOMBEA NCHI NA VIONGOZI WAKE-DK.MWINYI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaomba Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea...

MARUFUKU KUUZA VITABU VYA KLINIKI – WAZIRI UMMY

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amepiga marufuku kwa watendaji wa Wizara ya Afya na wadau wake kutowauzia wajawazito vitabu vya kliniki...

WAZIRI KUVALIA NJUGA MIGOGORO YA ARDHI SAME.

Ashrack Miraji, Same WAZIRI wa Aridhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Slaa amekubali kuambatana na Mbunge wa Jimbo la Same Magharib, David Mathayo...