RC MAKONDA ATOA AHADI KUMJENGEA NYUMBA BIBI PENINA PETRO – ARUSHA

Na Mwandishi wetu, Arusha MKUU wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameahidi kumjengea nyumba ya vyumba viwili Bibi Penina Petro (70) Mkazi wa Kijiji...

WAZIRI MKUU ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI TULIQ MARATHON

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 10, 2024 amewasili uwanja wa ndege wa Songwe ambapo kesho Mei 11, 2024 atakuwa mgeni rasmi katika mbio...

SERIKALI KUBORESHA SERA YA MILIKI BUNIFU

Na Esther Mnyika @Lajiji Digital SERIKALI imeweka wazi kuwa inaendelea kuboresha sheria na sera ya Miliki Bunifu ili kuhakikisha yanakuwepo mazingira rafiki yenye tija...

DK. BITEKO AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO

Na Mwandishi wetu, Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania...

TAWA YAPONGEZWA KWA JITIHADA ZA KUDHIBITI WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU UKEREWE

Na Mwandishi wetu, Ukerewe MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, Joshua Bituri Manumbu ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa jitihada endelevu...

MADIWANI MAGU WATAKA JIMBO LAO KUGAWANYWA

Na Mwandishi wetu, Magu BARAZA la Madiwani wilayani Magu Mkoani Mwanza limekubaliana kugawa Jimbo la Magu kuwa Majimbo mawili kutokana na ukubwa wake wa kijografia...

SIMBACHAWENE AWASILI IRINGA KUTETA NA WATUNZA NYARAKA NA KUMBUKUMBU.

Na Mwandishi wetu, Iringa MKUU wa wilaya ya Iringa, Kheri James mapema leo amempokea Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora...

MA-DC, MA-DAS NA MA-DED WAHIMIZWA KUTENDA HAKI KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO NCHINI

📌Dkt. Biteko awataka kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa kuzingatia sheria 📌Asema maamuzi yao yasiwe ya upendeleo 📌Aelekeza kuandaa mkakati thabiti wa kutatua migogoro ya...

DK.SAMIA AAGIZA MRADI WA CHUMA LIGANGA KUANZA UZALISHAJI

Na Esther Mnyika @@Lajiji Digital RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amewaagiza Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji na Waziri wa Nchi...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 9, 2024 amezungumza na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini...