KAMATI YA BUNGE YA PAC YAPIGWA MSASA

📌 Ni kuhusu miradi inayotekelezwa na wizara kupitia TPDC 📌 DKt Biteko afungua rasmi, aishukuru PAC kwa mchango wao sekta ya Nishati 📌 Waitaka TPDC kuwekeza...

SERIKALI KUTOWAVUMILIA WAKANDARASI WA UMEME WAZEMBE

📌 Kapinga aeleza kuchukuliwa hatua za kisheria 📌 Kata za Mawengi, Lubonde, Lugarawa, Lupanga, Mlangali, Madilu, Milo na Mawengi kuunganishwa na gridi ya Taifa 📌...

SERIKALI ZOTE MBILI BARA NA VISIWANI ZINA VIONGOZI WENGI WANAWAKE: WAZIRI RIZIKI

Esther Mnyika, Dar es Salaam WAZIRI wa maendeleo ya Jamii kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Riziki Pembe Juma amesema Serikali zote mbili bara na...

KAMANDA MUTAFUNGWA AWATOA HOFU WANAOFUNGUA MADUKA YAO MWANZA.

Mwanza JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza laendelea kuwahakikishia hali ya usalama wafanyabiashara waliofungua maduka yao nakuendelea na kazi kwa kuongeza doria mtaani. Mapema hii...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Juni 26, 2024.

ETDCO YAENDELEA KUJENGA MIUNDO MBINU YA KUSAFIRISHA UMEME MRADI WA TABORA – KATAVI 132kV

Tabora KAIMU Meneja Mkuu Kampuni ya ETDCO CPA Sadock Mugendi Amesema wanaendelea kujenga miundo mbinu ya Umeme Nchini ikiwemo Njia ya kusafirisha umeme kutoka Tabora...

GRIDI YA TAIFA KUMALIZA TATIZO LA UMEME RUKWA

📌 Kituo cha kupoza umeme kujengwa Nkansi 📌 Maeneo 1,500 yaliyofanyiwa mapitio yamekidhi vigezo kulipia 27,000/- Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema changamoto ya...

MOTO WATEKETEZA MAKAZI YA KAYA 43 KISIWA CHA RUKUBA MUSOMA VIJIJINI

Na Shomari Binda-Musoma JUMLA ya makazi ya kaya 43 kwenye kisiwa cha Rukuba kilichopo Musoma vijijini zimeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo. Moto huo umedaiwa...

TANESCO YATANGAZA KUANZA RASMI KWA MABORESHO YA MFUMO WA LUKU KATIKA MIKOA YA KANDA...

Na Agnes Njaala, Rukwa SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuanza rasmi kwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU ambapo sasa ni zamu ya...

DK. MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA TAASISI YA BIG WIN

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Taasisi ya Big Philanthropy ya Uingereza kushirikiana na...