RC CHALAMILA AFANYA ZIARA TEMEKE
-Akagua miradi ya mbalimbali ya maendeleo na kuongea na wananchi
Dar es Salaam
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amefanya ziara ya...
MAJALIWA AITAKA TARURA KUWASIMAMIA WAKANDARASI BINAFSI
▪️Asisitiza Serikali itaendelea kuwawezesha wawekezaji wazawa
▪️Aeleza mpango wa Serikali wa kukabiliana na ugonjwa wa Malaria nchini
Dodoma
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Barabara...
BILIONI 30 ZA MRADI WA MAJI TAKA KUUWEKA MJI WA MUSOKA KATIKA HALI YA...
Na Shomari Binda-Musoma
SHILINGI bilioni 30 zinazo tekeleza mradi wa maji taka manispaa ya Musoma zinatarajia kuuweka huo katika hali ya usafi.
Kauli hiyo imetolewa Februari,...
RAIS DK.MWINYI AMUAPISHA KAMISHNA ZRA
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Kamishna Mkuu Mpya wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA)Nd,...
WAHANDISI NCHINI WAMETAKIWA KUFANYAKAZI KWA KUZINGATIA MAADILI NA NIDHAMU
Dar es Salaam
WAHANDISI nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu na uwajibikaji kazini.
Wito huo umetolewa leo Februari 11, 2025 na Msajili wa...
RAIS MWINYI AZINDUA KITUO CHA UKAGUZI WA VYOMBO VYA MOTO.
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Uwekezaji wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi na Upasishaji wa...
SERIKALI INATOA KIPAUMBELE KUFIKISHA UMEME TAASISI ZINAZOTOA HUDUMA KWA JAMII – KAPINGA
📌 Hadi Januari 2025 taasisi za elimu zilizopatiwa umeme kupitia REA ni 18,597.
📌 Asema Serikali inatoa ruzuku kwa watumiaji wa mwisho wa gesi ya...
TUICO YAWATAKA WANACHAMA WAKE KUCHAGUA VIONGOZI SAHIHI
Esther Mnyika @Lajiji Digital
CHAMA Cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara,Taasisi za Fedha Huduma na Ushauri (TUICO) kimewataka wanachama wake kujipanga katika kugombea na kuchagua...
MADINI YA TANZANITE KUUZWA KWENYE MASOKO YA NDANI, NJE YA MIRERANI – DK. KIRUSWA
*Ujenzi wa Kiwanda cha Kusafisha Chumvi Nangurukuru – Kilwa Waendelea
Dodoma
NAIBU Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa amesema kuwa katika kuimarisha thamani ya madini...