NFRA KUUZA TANI MILIONI MOJA YA MAZAO 2025/2026
Dar es Salaam
WAKALA wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula nchini (NFRA) unatarajia kuuza takribani tani milioni moja za chakula kwa mwaka wa fedha wa...
ANWANI ZA MAKAZI KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI-MAJALIWA
Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mfumo wa anwani za makazi utasaidia kuchochea ukuaji wa uchumi, kuharakisha upatikanaji wa huduma za kijamii, kuimarisha masuala...
NJIA YA KIDIPLOMASIA KUMALIZA MGOGORO DRC
Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Rais wa Kenya, Dk.William Ruto amesema mazungumzo ya kidiplomasia yatamaliza vita vinavyoendelea katika...
RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UKUMBI SHULE BUKOMBE
📌Awapongeza wananchi kwa kuwa na ukumbi wa kisasa
📌 Ampongeza Rais Samia kwa jitihada zake za kuboresha elimu nchini
Geita
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne...
MAJALIWA MGENI RASMI KILELE CHA WIKI YA ANWANI ZA MAKAZI
Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 8, 2025 ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Anwani za Makazi inayofanyika katika...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA PAMOJA WA WAKUU WA NCHI EAC NA SADC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya...
TUMIENI FURSA ZA UWEKEZAJI RASILIMALI MAFUTA NA GESI KUINADI TANZANIA EAPC’E-MRAMBA
📌 Awaalika wadau EAC kushiriki Kongamano la 11 la Afrika Mashariki la Mafuta na gesi
📌 Asema Tanzania inazo rasilimali za kutosha kwenye mafuta na...
VITA GOMA VYAKUTANISHA ASASI ZA KIRAI DAR
Dar es Salaam
ASASI za Kiraia kutoka nchi za Maziwa Makuu zimeshauri nchi za Afrika kuungana pamoja kuhakikisha vita vinavyoendelea katika mji wa Goma...
RAIS DK. MWINYI: WAFANYABIASHARA KUJIANDAA NA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NA KUFANYA BIASHARA KWA...
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kufanya...