DK. MASIKA ARIDHISHWA UTEKELEZAJI MRADI WA MEMBE

Dodoma MWENYEKITI Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Dk. Richard Masika amekiri kuridhishwa na hatua zinazofanywa na Tume katika utekelezaji miradi ya...

SERIKALI KUPITIA UPYA MASILAHI YA WALIMU.

Dodoma RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan Ameitaka Wizara ya Fedha, Wizara ya Mipango na Uwekezaji, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi...

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA 19 JUKWAA LA KOROSHO AFRIKA 2025

Dar es salaam TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 19 wa Mwaka wa Jukwaa la Korosho Afrika 2025 wenye lengo la kuonesha fursa za...

KUUNGANISHA UMEME MAENEO YA VIJIJI NI ELFU 27 – KAPINGA

πŸ“Œ Asema kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/- πŸ“Œ Kapinga asema maeneo ya Kerwa umeme umeshafika Makao Makuu ya Vijiji Dodoma NAIBU Waziri...

UONGOZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM UNATARAJIA KUFANYA MAZUNGUMZO TRC KUJENGA RELI YA...

Dar es Salaam UONGOZI wa mkoa wa Dar es Salaam unatarajia kufanya mazungumzo na Shirika la Reli nchini (TRC) ili kuangalia kama kutakuwa na...

DK. BITEKO AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MIILI YA WANAFUNZI WALIOFARIKI KWA RADI GEITA

πŸ“Œ Rais Samia atuma salamu za pole, agharamia misiba na mazishi πŸ“Œ Mkuu wa Wilaya Bukombe aishukuru Idara ya Afya kwa juhudi za maokozi πŸ“Œ Viongozi...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI WA EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika...

TANZANIA YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA BURUNDI KWENYE SEKTA YA NISHATI

πŸ“ŒBurundi yaipongeza Tanzania kwa mafanikio ya nishati πŸ“ŒWampongeza Rais Samia kudumisha amani nchini Dar es Salaam SERIKALI imeahidi kuendelea kushirikiana na nchi ya Burundi katika nyanja...

BASHUNGWA AINGIA MTAANI KUJIONEA POLISI ILIVYOIMARISHA USALAMA MKUTANO WA NISHATI – DAR

Dar es Salaam WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametembelea baadhi ya maeneo Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi...